Nahitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote

Kama uko tanga ni uzembe wako kukosa ugali

1. Nenda kiwandani tanga fresh kange jeshini pale muulizie kessy jieleze muombe kazi ya kupakia maziwa ya kwemda dar kila siku jioni, hukosi 10k mpaka 15k. Kila siku gari mbili au tatu zinaondoka msuli wako tuu kupakia

2. Nenda kiwanda cha podoa, duga mwembeni kila siku wanaandikisha wafanyakazi 7000 kwa siku ukikomaa kupatana kama hujui kuonge 5000, mchawi barua ya mtendaji na kopi ya kitambulisho.

3. Nenda depo ya bia pale kwa minchi kama unaenda misitu, kuna kushusha na kupakia kreti za bia kila siku hukosi kazi.

4. Una lesen ya piki piki na wadhamin nenda pale pale kwa minchi kabla ya depo ya bia kuna wahind koko wanauza pik pik wanatoa za mikataba, ushindwe wew kuwa boda boda

5. Nenda amboni kwa liemba kiwanda cha chokaa, kazi zakutosha nunua mask na jipende kwa maziwa maana kuna vumbi la kutosha kila siku watu wanaacha kazi hakuhitaji connection

6. Kiwanda cha IPPTL kange jeshini kazi zipo kaongee na walinzi vizur mchawi barua na wadhamini

7. Nenda stand barabara ya 10, omba kazi za ukonda dei waka kuna costa za kwenda mlalo na korogwe vijana weng hawataki kazi za kulala kwenye costa mkifika mlalo, nenda wakujue jenga uaminifu kazi zipo

8. Nenda soko la mlango wa chuma kwa Mbilu ana fuso za kutosha omba kazi kaa kushoto hana uchoyo yule mzee kikubwa uaminifu tuu

9. Tanga wanawake wanapenda kulea vijana, nenda 15 au ya 8 maeneo ya maua pale, jipitishe vaa kisharobaro jioni wakikuona tuu umeula. Ila ujue kusimamia ukucha.

Tanga kulala njaa au kufa maskini ni kujitakia
Huyu bwana kiufupi katoa connection, sijui kwa nini kuna baadhi mmemchukulia poa?
 
Habari za humu ndani wakubwa poleni na majukumu ya hapan na pale

Nimekuja kwenu kuhitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote maana Nina hali mbaya kiuchumi na Nina tegemewa na familia.

Kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia hata KAZI ya uhouse boy nipo tayar kufanya ili nipite salama haya majaribu ninayo pitia.

Natanguliza shukrani za dhati
Pole mkuu na hongera kwa kutambua wajibu wako.
Nadhani ni vyema ukasema unapatikana wapi ili kuweka wepesi.
 
Sawa hizo hizo za kwenye makaratasi lakin zimenifikisha pazur japo nilianzia chin sana, nilijishusha nikaaminika saiv afadhal niko kitengo ila sio tanga, ila tanga imenitoa
Kaz za viwandani had usubir geti lifunguliwe ni manyanyaso nishayapitia ndo mana nikaja kuomba msaada humu sio kuwa napenda ila saiz mambo sio rahisi kama unaweza nidirect Moja Kwa Moja niende
 
Habari za humu ndani wakubwa poleni na majukumu ya hapan na pale

Nimekuja kwenu kuhitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote maana Nina hali mbaya kiuchumi na Nina tegemewa na familia.

Kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia hata KAZI ya uhouse boy nipo tayar kufanya ili nipite salama haya majaribu ninayo pitia.

Natanguliza shukrani za dhati
Pole
 
Kazi za haraka unazoweza zipata ni kuzunguka mtaani kutafuta vibarua Kwa mafundi hasa kama uko mjini utapata ila kama ni Kijijini umekwisha..
 
Kaz za viwandani had usubir geti lifunguliwe ni manyanyaso nishayapitia ndo mana nikaja kuomba msaada humu sio kuwa napenda ila saiz mambo sio rahisi kama unaweza nidirect Moja Kwa Moja niende
Tanga hamna mpaka geti lifunguliwe na kikubwa ni kuandaa barua ya mtendaji ya maombi ya kazi na kopi ya kitambulisho, nna uhakika hujatembea ukatafuta kazi, nenda sehemu nilizo kuelekeza jamii forum hamna kazi, muda unaoandika uzi hapa ungeshapata ABC za kazi,
 
Achana na ushauri inaonekana hakuna anayeutaka uliowapa wameukataa. Subiri wataouona unawafaa watauchukua wewe kazi umemaliza, ushauri ni bure ila kuuchukua au kuuacha ni mhusika mwenyewe.
Tanga hamna mpaka geti lifunguliwe na kikubwa ni kuandaa barua ya mtendaji ya maombi ya kazi na kopi ya kitambulisho, nna uhakika hujatembea ukatafuta kazi, nenda sehemu nilizo kuelekeza jamii forum hamna kazi, muda unaoandika uzi hapa ungeshapata ABC za kazi,
 
Kama uko tanga ni uzembe wako kukosa ugali

1. Nenda kiwandani tanga fresh kange jeshini pale muulizie kessy jieleze muombe kazi ya kupakia maziwa ya kwemda dar kila siku jioni, hukosi 10k mpaka 15k. Kila siku gari mbili au tatu zinaondoka msuli wako tuu kupakia

2. Nenda kiwanda cha podoa, duga mwembeni kila siku wanaandikisha wafanyakazi 7000 kwa siku ukikomaa kupatana kama hujui kuonge 5000, mchawi barua ya mtendaji na kopi ya kitambulisho.

3. Nenda depo ya bia pale kwa minchi kama unaenda misitu, kuna kushusha na kupakia kreti za bia kila siku hukosi kazi.

4. Una lesen ya piki piki na wadhamin nenda pale pale kwa minchi kabla ya depo ya bia kuna wahind koko wanauza pik pik wanatoa za mikataba, ushindwe wew kuwa boda boda

5. Nenda amboni kwa liemba kiwanda cha chokaa, kazi zakutosha nunua mask na jipende kwa maziwa maana kuna vumbi la kutosha kila siku watu wanaacha kazi hakuhitaji connection

6. Kiwanda cha IPPTL kange jeshini kazi zipo kaongee na walinzi vizur mchawi barua na wadhamini

7. Nenda stand barabara ya 10, omba kazi za ukonda dei waka kuna costa za kwenda mlalo na korogwe vijana weng hawataki kazi za kulala kwenye costa mkifika mlalo, nenda wakujue jenga uaminifu kazi zipo

8. Nenda soko la mlango wa chuma kwa Mbilu ana fuso za kutosha omba kazi kaa kushoto hana uchoyo yule mzee kikubwa uaminifu tuu

9. Tanga wanawake wanapenda kulea vijana, nenda 15 au ya 8 maeneo ya maua pale, jipitishe vaa kisharobaro jioni wakikuona tuu umeula. Ila ujue kusimamia ukucha.

Tanga kulala njaa au kufa maskini ni kujitakia
Kusimama na ukucha una maanisha nn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom