love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
Nina digree ya public administration,nahtaji msaada kwa anayeweza kunipatia kazi yoyote hata ya mshahara wa laki mbili niko tayar kufanya,jaman kaz hazipatkan na lyf so tyt,nahtaj msaada wenu wana jf.
TAFUTA BIASHARA ITAKUA RAHISI KULIKO KAZI, UMESHASEMA NI NGUMU TAFUTA IDEA UTAPATA MTAJI AM SURE ONE MILLION CAN GIVE YOU PROFIT OF MORE THAN 200 UNAYOTAKA, WAKATI UNAENDELEA KUTAFUTA KAZI. pole sana