Grim Langdon
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 779
- 2,294
Habari za jioni,
Nahitaji ushauri kwa jambo lifuatalo, binafsi mimi kuna msichana flani hivi nilisoma naye primary from standard three to seven nilitokea kumpenda sana ila sikumwambia kutokana na ukali wake wa kwenda kutusema kwa mwalimu.
Kwa cku zote hzo nilizosoma nae nilikuwa nikimwota sana ndotoni akiniambia kuwa ananipenda, tulivyo maliza darasa la 7 tukapotezana kwa kuwa wote tuliingia sec tofauti lakini kumuota kulibaki palepale.
Sasa kinachoniwazisha ni kuwa mimi na yeye hatujawai kutana na ni miaka mingi tumepotezana ila mimi bado na muota tu inaweza hata ikapita kama miezi 3 hivi simuoti ukashangaa usiku mmoja huyaapa namuota tena, kingine ni kuwa nikishaamka kutoka ndotoni kumpenda kunarud kama zaman hata kama nilikuwa nilishamsahau.
Ushauri na msaada wenu plz,
Natanguliza shukrani
Jioni njema.