Nahitaji msaada kuimarisha ndoa yangu

Nakushuru kwa ushauri. Mke wangu ni mnene, uzito wake ni km 100kg, umri wake 38 anajitahidi kula sana, anapenda vya sukari sana, hafanyi mazoezi na hanywi pombe.

Nimejitahidi kumshauri afanye mazoezi, apunguze weight, aache sukari sukari lakini bado kimsingi sijafanikiwa. Binafsi nafanya mazoezi ili ku -maintain my shape and good health. She likes sex so much as i do, we match in everything when it comes to love making.

Tatizo kubwa ni usingizi wake coz well nikimwamsha kila kitu kinakwenda sawa kama hajalala vile coz she like it alwayz. What i need is to help her angalau apunguze kulala the way she does.

Nitafanyia kazi ushauri wenu

Swala la huu unene ninavyohisi wewe mwenyewe unaweza kuwa ni chanzo,kwani yawezekana ulimpenda kwa sababu ya unene wake au unapenda wanawake wanene ila hukujua kwamba siku moja itakuwa ni tatizo,100kg my friend is too much ingawa sijui urefu wake otherwise kama atakuwa chini ya futi 5.6 uzito huo ni hatari hata kwa maisha yake,workout on it kuwa serious make sure she reduce her weight,go google for BODY MASS INDEX,itakusaidia kujua the right weight she IS supposed to have.Nakutakia mafanikio mema kwenye huo mkakati,si unajua hilo tendo lilivyokuwa muhimu mkuu!
 
umempeleka kufanyiwa maombi??as weird as this sounds anaweza akawa anatumiwa na nguvu za giza!
huo usingizi sio wa kawaida!
 
dogo pole kwa tatizo lako,lakini nimefarijika tatizo la ndoa yako sio cheating,niliposoma title nikasema ohooo mwingine tena nikajua mambo yaleyale ya cheating!kwa tatizo lako just relax ukiendelea kupata maushauri taratibu

ushauri wangu kwa vile tatizo lako sio choma moyo,tulia tu mtu wangu ukiwa unatafuta dawa,meanwhile AKILALA WE TANUA TU INGIZA kama alivyokuambia yeye mwenyewe!lol!
 
Nauongana na Roulette. Ila hyo ya we tanua paje aiseeeee hatari si anaweza akatokelezea mtu yeyote akatanua yeye akajua ni wewe kumbe mbakaji?
Ha hii imenikumbusha bosi wetu mama anapenda sana kufanywa alihamia mkoa wetu sasa kabla hajapata nyumba akawa analala hotelini si akaingiza lijamaa bwana lilipomaliza likaondoka maza akaendelea kuchapa usingizi mlinzi nje katika pitapita si akaona maza mrembo kajiachia full bila nguo usingizi umemkaba mlinzi akaingia ndani akanza kujipakulia in the course maza akashtuka kimbia police ikabidi pollice wamwambie kwa cheochake inabidi auchune mana aibu itakuwa kwake so ikaishia hapo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom