Aji dronedrake tu😂😂
Au Sio....uko wapi nikupeleke bar yenye mademu wa Kali....mi ni boda.naelewa kaka ila upweke nao shida
Au Sio....uko wapi nikupeleke bar yenye mademu wa Kali....mi ni boda.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Basi ingia tinder wapo mkuu...au unataka wa humu?#hao wa bar siwataki mana mm nalalaga mapema sana __(huo ndo mfumo wangu wamaisha)
😂😂😂tena wanakuja pw wenyewe 😂Mi nateseka kutongoza kwa mbinde hivi alafu wenzangu mnaweka tu tangazo na mnapata kweli dunia haiko sawa
Basi ingia tinder wapo mkuu...au unataka wa humu?
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Wapi mkuu tunageukana tumekubaliana tutongoze kumbe wenzangu mnanizunguka mnapata mademu kirahisi#hahhahaah__ila bado sijapata mbona
Nenda Mwenge,makumbusho Au kigamboni Ferry Nenda Nyakati Za Jioni Aisee Kuna Wachumba Kibao Tena Pisi Za Maana Mpaka Udenda Utakutoka,omba Namba Za Wachumba Hata 10 Wakikataa Wote Kaoge Maji Ya Bahari Nyeuse.Tena Wachumba Hao UTI Ni Nadra Sana Sio Kama Wa Tabata.Humu JF Wamejaa Ajuza Na Single Maza Ni Vigumu Kupata
Hakikisha Mfuko Wako Umetuna#hata single maza ananifaa
Katika hayo mapenzi mwanamke akiwa na mambo yake inaruhusiwa kukushirikisha pia?sitaki mwanamke wakununua__nataka awe mpenzi nikiwa najambo nimshirikishe tushauriane