Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,574
Mbona 'gali'Hapanaila kama una gali na sura endelevu ni pm kama vyote huna
Byeeeee

Mbona 'gali'Hapanaila kama una gali na sura endelevu ni pm kama vyote huna
Byeeeee

Duuh watu mnachambua na michambo Juu hataree Anawaona Mkuu WA ThreadKwenye simu mbwembwe utafikiri mtu kweli kuonana nae unahisi kama ameagizwa alete maelezo

Sawa mkuuNilichojifunza jf.ni kukubali kupokea mawaza m-mbadala na yako..xo haihitaji hasira

Hata akienda Villa Park Resort atapata tuNenda maeneo ya Deluxe usiku utawakuta wengi then utachagua kulingana na fleva inayoipenda
Nipe mda kidogo..Naomba unisadie maelezo ya shule hii Ibugilo sec iko maeneo gani ndayi ya mwanza wanavaa sare gani? msadaaa tafadhali
Naomba unipe namba yako inboxNaomba unisadie maelezo ya shule hii Ibugilo sec iko maeneo gani ndayi ya mwanza wanavaa sare gani? msadaaa tafadhali
Rafiki nimefatilia nimepata ilipo...IPO maeneo ya maduka Tisa, nje kidogo ya mji wa mwanza.kuhusu sare wanavaa chini rangi ya damu ya mzee na shati jeupe...Naomba unisadie maelezo ya shule hii Ibugilo sec iko maeneo gani ndayi ya mwanza wanavaa sare gani? msadaaa tafadhali

eti kati 27 - 30MsukumaMchumba we kabila gani?
Hebu tulia uandike vizuri, mchumba utampata tu.