Wewe ni mlinzi wa SGA ? Alafu huo mdomo vipi au wezi walikupiga na nondo ?Nahitaji mpenzi
Umri wangu 33
Mpenzi ninayemuhitaji awe anaishi dar na asitoke familia ya kishua
Nimeambatanisha picha ukiniridhia njoo pm
View attachment 3353184
Nahitaji mpenzi
Umri wangu 33
Mpenzi ninayemuhitaji awe anaishi dar na asitoke familia ya kishua
Nimeambatanisha picha ukiniridhia njoo pm
View attachment 3353184
Situmii hivyo vitupunguza pombe na matumizi ya bangi boss
Anafaa?Wewe ni mlinzi wa SGA ? Alafu huo mdomo vipi au wezi walikupiga na nondo ?
Usijisikie vibaya nauliza maana kuna kidada hapa naweza kukupa mkuu
Ndiyo naye ni mlinzi wa kampuni ya UNIKOME SECURITY COMPANYAnafaa?
HanifaiNdiyo naye ni mlinzi wa kampuni ya UNIKOME SECURITY COMPANY
SivutiMkuu punguza kuvuta sigara nyota, si unaona vile imekufanya mdomo??
Naona hawajiKila la kheri
Wale chuma kivipi?Kuleni chuma hicho...😅
Mi sio mlinziKila la kheri kamanda upate wa kukutuliza na heka heka za malindoni.