Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
Habari wakuu. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza mimi ni Mtanzania niliyepatwa na tatizo ambalo linahitaji upelelezi ili kujua chanzo chake na watu waliohusika katika kunihujumu. Hivyo nahitaji mpelelezi binafsi yaani wa kujitegemea ambaye atanisaidia. Kwa anayemjua au yeye mwenyewe kama ni mpelelezi naomba ani PM kisha nitaongea naye kazi nzima ya kuifanya.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.