Nahitaji moja ya simu hizi haraka sana

Nahitaji moja ya simu hizi haraka sana

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
476
Reaction score
253
Nahitaji moja ya smartphone hizi, ziwe in very good condition without scratches.Maelewano yanaweza kuwepo

Samsung galaxy S price tsh 350000
Samsung galaxy sII price tsh 450000
HTC one X price tsh 500000

Anayeuza simu hizo tuwasiliane through pm, or 0717301520
 
Nenda dukani ama unataka tukujue kuwa unazooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kwa bei hiyo galaxy S II utaisikia kwenye matangazo na televisheni
 
Leta 400,000/- uondoke na Galaxy S
 
Mwenye SIII kwa laki saba ani dipu.
 
I hv s1...pm me...iko hacked u can use free internet daily!!!!
 
Back
Top Bottom