kadumaster08
Member
- May 30, 2013
- 78
- 15
Hbrn za weekend wapendwa,
Nahitaji mkopo wa 1,500,000/- kwa marejesho ya mwaka mmoja tu.
Nia na madhumuni ya mkopo huo ni kwamba nina jirani yangu ana kiwanja anauza huko Kibaha kwa Mathias, anauza kwa matatizo. Hivyo basi nilihitaji kuongeza eneo langu kwani dogo.
Aliye tayari tuwasiliane kwa namba hizi 0788 688783 na 0652 005870. Napatikana Dar, maeneo ya Changanyikeni. Asanteni!