Msaada: Nahitaji mkopo wa milioni 5

Makanayaga

New Member
Mar 7, 2016
1
0
Nahitaji Mkopo wa 5ML dhamana hati yangu ya nyumba, Aliye tayari ani PM tukaandikishiane kwa Wakili! Asanteni
 
Ukiingia huko, ujue na nyumba yenyewe umeshaiuza. NA tena bei yake haitozidi hiyohiyo ya 5mil. Kuwa makini, tafakari kwa kina kabla ya kuchukua huo mkopo.
 
yES NI KWELI.WABONGO HAWAAMINIKI KILA MTU MWIZI.
REJEA KINA PAPA MSOFE.
 
Mkuu nenda benk hao wanaokopesha hela person ni Wanyanganyi kwanza interest ni kubwa. Nenda benk kuna mikopo ya aina nyingi. Uko wapi wewe
 
Nahitaji Mkopo wa 5ML dhamana hati yangu ya nyumba, Aliye tayari ani PM tukaandikishiane kwa Wakili! Asanteni
Mkuu ninashida inayofanana na yako lakini inaufumbuzi tofauti ,Mimi ninahihitaji mkopo bank lakini dhamana yenye hati ni tatizo, ila nakopesheka bank, hatuwezi tukakopa kwa pamoja then tuweke utaratibu wa kulipa benki,? Fikiria
 
Mmoja na hasa anayemiliki hati ni lazima atakuja juta, na mwishowe kabisa talaja laumu uwepo wa JF
 
Ha ha ha ha ha haaa... Nimecheka sana, umeongea point sana Mkuu.. Pesa Ni kitu Cha Ajabu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom