KAPIRIPIRI
Member
- May 24, 2011
- 31
- 9
Mimi ni recent graduate, mwandishi wa vitabu vya kiada na ziada. Tayari ninazo titles 2 ambazo zimeingia sokoni tangu mwishoni mwa mwaka jana na zinafanya vizuri sokoni.Tayari nina marketing strategy nzuri. Tatizo nililonalo ni mtaji kidogo na hili linaniathiri kwani kadri unavyoprint vitabu vingi ndivyo printing cost inavyopungua. Nahitaji mtu wa kunishika mkono ili niongezee kwa hiki kidogo nilichonacho.Interest itakuwa nzuri kulingana na makubaliano yetu. N.B. Sijawa na dhamana kama gari au kiwanja ndo maana sijaenda benki. Dhamana nilizo nazo ni kama assets za nyumbani na mengine ambayo nitamweleza muhusika ili awe na uhakika wa security ya pesa yake.Naamini nitasaidiwa, sote ni ndugu.