DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,329
Naelewa hilo. Nilianza shika hela ya maana sana nikiwa miaka 19. Nikakutana na mdada mmoja, akafanya nikapoteza kila kitu nikiwa na miaka 22. HADI NIKATAKA KUJIUA KIPINDI HICHO. Ilichukua miaka kadhaa ndio nikaanza kishika hela tena ya maana. Lile somo la kupoteza kila kitu limefanya nielewe kutoweka sana moyo wangu kwa mali. Hivyo nazifurahia, lakini hata kama sasa hivi zitapotea zote, nitakuwa sawa sababu natambua mali si za milele.MWANADAMU,MWANADAMU,kusikudanganye kujitosheleza kwko kwa leo,hakika kesho yako huijui na hicho ndo kitu cha kuogopa sana.Huenda wapumbavu wa leo wakawa ndio wenye maarifa kwenye kesho yako ngumu.Usinajisi baraka zako,mafanikio yako kwa kudharau wengine!!