Nahitaji mkopo wa Milioni 10 dhamana hati ya nyumba

MWANADAMU,MWANADAMU,kusikudanganye kujitosheleza kwko kwa leo,hakika kesho yako huijui na hicho ndo kitu cha kuogopa sana.Huenda wapumbavu wa leo wakawa ndio wenye maarifa kwenye kesho yako ngumu.Usinajisi baraka zako,mafanikio yako kwa kudharau wengine!!
Naelewa hilo. Nilianza shika hela ya maana sana nikiwa miaka 19. Nikakutana na mdada mmoja, akafanya nikapoteza kila kitu nikiwa na miaka 22. HADI NIKATAKA KUJIUA KIPINDI HICHO. Ilichukua miaka kadhaa ndio nikaanza kishika hela tena ya maana. Lile somo la kupoteza kila kitu limefanya nielewe kutoweka sana moyo wangu kwa mali. Hivyo nazifurahia, lakini hata kama sasa hivi zitapotea zote, nitakuwa sawa sababu natambua mali si za milele.
 
Sawa bro,its not a fight,binadamu tunateleza na hapo tulikua tunakumbushana tu umuhimu wa kutanguliza utu kuliko chochote.Fortunately umepitia magumu kwahiyo unajua vzr adha ya kutaabika.Mungu atushindie kwenye udhaifu wetu.Kingine cha muhimu ni kwamba kutokana na tunayopitia maishani wakati gulani yanaweza yakachangia kutufanya tuwe watu wa mtindo fulani.
Lakini kwa upande wangu hua naamini kama Mungu alinipitisha kwenye magumu salaama basi kwenye kila jambo ni bora nikamtanguliza yeye itanisaidia kutuliza hisia zangu hasa pale ambapo zinaweza kumchoma mwingine.
Leo umeteleza wewe,kesho ntateleza mimi.TUOMBEANE NA KUVUMILIANA
 
Mbona mnaringia sana watoto wenu kwa mitandao na waume na wake zenu? Mnasema my husband, my wife, my kids na kupost picha kibao???. Sasa kama mtu kapambana sana maishani na kafanikiwa sana asisheherekee alicho nacho. Sometimes inatokea tu pasipo kumaanisha. Lakini mtu unapenda vitu ulivyovifanyia kazi na sometimes una-share tu na watu sababu vinakufurahisha. Samahanini kama nimewaudhi.
Ha ha ha
 
. Watu kama ww ni kuwahurumia tu. Najua haujafanya kitu chochote cha maana maishani. Unahangaika tu. Naona hata your thinking capacity iko chini sana. Mtu kama ww sina sababu ya kujibizana naye. Tafuta watu wa level yako, manake wajinga wenzako UWATUKANE NA KUONGEA NAO UPUUZI. Mimi sio mtu wa level yako! Na hata nikikuelimisha hautaelewa kwamba imekuaje nikafikia ku-post hizo picha. Good riddance to you man!
Mkuu, watu kama wewe ndo wale akikukopesha kwa utaratibu ambao mleta mada anataka akopeshwe lazima mwisho wa siku akudhulumu nyumba.

Jamaa nyumba hauzi, wewe ushasema mambo mengii ohoo nina nyumba kadhaa Dar, ohoo brother yuko mbele na huwa ananunua, mara nimefanya mambo mengi maishani.Kiufupi unashida kubwa.
 
Kwa riba ya 50 percent njoo tufanye biashara...ila mambo ya malipo ya mbususu hapana
Hahaha..kwamba unamkopesha hela yeye baadae anaanza kubadili marejesho..badala ya pesa yeye anakususia mbususu sio?..
 
Mkuu, watu kama wewe ndo wale akikukopesha kwa utaratibu ambao mleta mada anataka akopeshwe lazima mwisho wa siku akudhulumu nyumba.

Jamaa nyumba hauzi, wewe ushasema mambo mengii ohoo nina nyumba kadhaa Dar, ohoo brother yuko mbele na huwa ananunua, mara nimefanya mambo mengi maishani.Kiufupi unashida kubwa.
Nilisema hivyo kuonyesha kwamba NILIKUWA SERIOUS KUULIZIA KUHUSU HII NYUMBA. Kama mnachukulia nilimaanisha kujionyesha ni nyie tu ambao hamuoni chochote zaidi ya kufikiria watu wanajionyesha. Ww ndio una matatizo. Kwangu mimi hio ni statement ya kawaida sana.
 
Mkuu, watu kama wewe ndo wale akikukopesha kwa utaratibu ambao mleta mada anataka akopeshwe lazima mwisho wa siku akudhulumu nyumba.

Jamaa nyumba hauzi, wewe ushasema mambo mengii ohoo nina nyumba kadhaa Dar, ohoo brother yuko mbele na huwa ananunua, mara nimefanya mambo mengi maishani.Kiufupi unashida kubwa.
NA HAKUNA MTU HAPA WA KUNIZUIA NI-POST AU NISEME KITU CHOCHOTE NINACHOTAKA KUKISEMA. Mimi ni mimi, na ninyi ni ninyi. I do whatever I like as long as simuumizi mtu. LOVE ME OR HATE ME, I DON'T CARE 😂😂😂
 
SIKO HAPA JAMIIFORUMS TO MAKE FRIENDS. NA SIHITAJI FRIENDS. KWA HIO FAKALLOFYOU WHO ARE ATTACKING ME FOR MY POSTS. IF ANYTHING.. MNAZIDI KUNIONYESHA JINSI DUNIA ILIVYOJAA MA-HATERS. NA MIMI NAPENDA SANA HATERS KAMA NYIE SABABU YANI NDIO MNACHOCHEA MOTO ZAIDI NDANI YANGU KUNIFANYA NIENDELEE KUPAMBANA ILI NIZIDI KUFANIKIWA ZAIDI 💪💪💪💪.

Kwa hio asanteni sana kwa motivation yenu kwangu leo 🙏🙏🙏
 
Baadhi ya nyumba zangu zipo kwa hii video hapa

Punguza majivuno mkuu,
Ujaombwa uzioneshe na Wala hazihusiani na mada iliyoko mezan
IMG_20210523_095937.jpg
 
SIKO HAPA JAMIIFORUMS TO MAKE FRIENDS. NA SIHITAJI FRIENDS. KWA HIO FAKALLOFYOU WHO ARE ATTACKING ME FOR MY POSTS. IF ANYTHING.. MNAZIDI KUNIONYESHA JINSI DUNIA ILIVYOJAA MA-HATERS. NA MIMI NAPENDA SANA HATERS KAMA NYIE SABABU YANI NDIO MNACHOCHEA MOTO ZAIDI NDANI YANGU KUNIFANYA NIENDELEE KUPAMBANA ILI NIZIDI KUFANIKIWA ZAIDI 💪💪💪💪.

Kwa hio asanteni sana kwa motivation yenu kwangu leo 🙏🙏🙏
Kula kulala wewe kenge ,huna hela acha mbwembwe
 
SIKO HAPA JAMIIFORUMS TO MAKE FRIENDS. NA SIHITAJI FRIENDS. KWA HIO FAKALLOFYOU WHO ARE ATTACKING ME FOR MY POSTS. IF ANYTHING.. MNAZIDI KUNIONYESHA JINSI DUNIA ILIVYOJAA MA-HATERS. NA MIMI NAPENDA SANA HATERS KAMA NYIE SABABU YANI NDIO MNACHOCHEA MOTO ZAIDI NDANI YANGU KUNIFANYA NIENDELEE KUPAMBANA ILI NIZIDI KUFANIKIWA ZAIDI .

Kwa hio asanteni sana kwa motivation yenu kwangu leo
JamiiForums858851155.jpg
 
SIKO HAPA JAMIIFORUMS TO MAKE FRIENDS. NA SIHITAJI FRIENDS. KWA HIO FAKALLOFYOU WHO ARE ATTACKING ME FOR MY POSTS. IF ANYTHING.. MNAZIDI KUNIONYESHA JINSI DUNIA ILIVYOJAA MA-HATERS. NA MIMI NAPENDA SANA HATERS KAMA NYIE SABABU YANI NDIO MNACHOCHEA MOTO ZAIDI NDANI YANGU KUNIFANYA NIENDELEE KUPAMBANA ILI NIZIDI KUFANIKIWA ZAIDI 💪💪💪💪.

Kwa hio asanteni sana kwa motivation yenu kwangu leo 🙏🙏🙏
 
Haya yote kisa ni izo picha? Bas mkuu tufanye yaishe, endelea tu harakati zako unachokifanya sasa ni kuuchafua uzi huu ili nishindwe kumpata mtu wa kunikopesha. Nimekuelewa na Mungu akubariki sana.
Mkuu huyo jamaa ni mke wetu,achananae atakuumiza kichwa
 
Habari zenu wakuu!

Nimerudi tena kwenu kuomba mkopo mwingine wa Milioni 10. Nilikuja mwezi June kuomba kukopeshwa Milioni 5,sikufanikiwa tuliamua kuishi ivo ivo kwa tabu uku biashara zikiwa zinazid kudidimia kwa kukosa mtaji. Kwanini naomba kiasi chote icho? Sababu kuu ni kuzifufua biashara mbili zilizopo za familia (zilianguka kwasababu: moja ndugu wa damu alikula mtaji na mbili haikua sehemu sahihi).

Biashara moja tuiite B1 ambayo ndugu alikula mtaji ina uwezo wa kuingiza kwa mwezi sio chini ya laki 5 kama net profit(baada ya kutoa makato kama kodi ya pango). Ivyo hii pekee naweza nikawa naitumia kufanyia marejesho ya huo mkopo ambao utakua hauzidi laki 5 kila mwezi. Biashara ya pili tuiite B2 imekamilika kila kitu ila shida ilikua sehemu sio sahihi,ivyo kama wanafamilia baada ya tafiti na uchunguzi wa kina na mda mrefu kidogo. Tukaadhimia kuiamisha na kuipeleka eneo jingine(Tukafeli kwenye mtaji). B2 itatumika kama biashara yetu ya kujikimu na kusolve mahitaji yetu kama familia. Ivyo biashara zote mbili B1 na B2 zinauwezo mkubwa na uhakika wa kurudisha mkopo na riba itayokuwepo.

NB: Sababu ya kwanini sijaenda benki ni kua benki zinahitaji biashara iwe active na hizi zangu zimesimama kwa mda kidogo.

Napendekeza mkopo huu wa Milioni 10 kuulipa ndani ya miaka mitatu(kwasababu naenda kuufanyia biashara) na husiwe na riba yenye kuumiza (mfano riba inaweza isizid 40% yaani rejesho lisizid Milioni 14). Atayewiwa kunipa huu mkopo nitakua tayari tuandikishane mbele ya mashahidi wa pande zote mbili pamoja na mwanasheria. Nyumba ipo Dar Es Salaam, kata ya Ukonga.

Mengine ya nyongeza tunaweza kuzungumza na mkopeshaji.

Ahsanteni!!
Milioni kumi bond nyumba utakuja kulia ndugu yangu usifanye ivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom