Nahitaji mkopo wa Milioni 10 dhamana hati ya nyumba

Si kitu rahisi kwa mkopeshaji binafsi kukupa mkopo kwa period ya miaka mitatu, si rahisi.

Deal na microfinance watakupa mkopo kwa hiyo bond ya nyumba.

Good luck.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mkuu umejaribu kuipitia NB yangu apo? Nilishakwenda benki wakanipa vikwazo
 
Picha umetuma sio za mtu aliye serious. Za ovyo halafu ume-censor mtu pasipo kutoa maelezo. Inaonekana kuna uongo katika hili suala. Na Wala sitaki mawasiliano zaidi na ww.
Simu nayotumia camera zake hazipo clear, nimepiga ya mbele (selfie) coz ndo yenye uafadhali. Mkuu huu ni mtandao ambao privacy ni kila kitu ndio maana nimeiziba sura kwenye iyo selfie (Umeniomba picha ya nyumba sio pamoja na mpiga picha). Unadai kuna uongo,uongo upi wakati tutafuata kila taratibu ikiwemo kupitia nyaraka ya nyumba na hata kwenda serikali za mitaa kujiridhisha. Kama kuziba sura ya alepiga picha ndio uongo unaozungumzia, nashukuru mkuu!!
 
Nenda TU benki mkuu
Hesabu yako ya riba umepiga sawa na watu wa kwenye mabenki

Iyo riba yako haiwez kumshawishi mtu binafsi azamishe pesa yake million 10,

Afu ukae nayo miaka 3 Yote unazungusha, Kisha Umrudishie faida ya mil. 4 tu.

Otherwise,
Awe Ni ndugu yako , afu Akuonee huruma kwelikweli.
Screenshot_20210920-195533.jpg
 
Ushauri wangu:
Kama Ni nyumba ya biashara (gesti,fremua au yakupangisha),

ingia makubaliano na mkopeshaji,
KODI ZOTE za Iyo nyumba awe anachukua yeye.
Afu Kisha Baada ya iyo miaka 3, Umrudishie mil. 10 yake na iyo faida ya mil. 4

Au Kama Ni nyumba ya familia
kaeni kikao wanafamilia, mkubaliane muuze nyumba ya familia.

Ela kidogo itafutwe nyumba NDOGO mkapange,
inayobaki zamisha Kwenye biashara zako izae.
 
Nenda TU benki mkuu
Hesabu yako ya riba umepiga sawa na watu wa kwenye mabenki

Iyo riba yako haiwez kumshawishi mtu binafsi azamishe pesa yake million 10,

Afu ukae nayo miaka 3 Yote unazungusha, Kisha Umrudishie faida ya mil. 4 tu.

Otherwise,
Awe Ni ndugu yako , afu Akuonee huruma kwelikweli.View attachment 1946361
Iyo Milioni 4 nilitoa kama mfano tu mkuu pia swala la benki nimelielezea kwenye uzi
 
Ushauri wangu:
Kama Ni nyumba ya biashara (gesti,fremua au yakupangisha),

ingia makubaliano na mkopeshaji,
KODI ZOTE za Iyo nyumba awe anachukua yeye.
Afu Kisha Baada ya iyo miaka 3, Umrudishie mil. 10 yake na iyo faida ya mil. 4

Au Kama Ni nyumba ya familia
kaeni kikao wanafamilia, mkubaliane muuze nyumba ya familia.

Ela kidogo itafutwe nyumba NDOGO mkapange,
inayobaki zamisha Kwenye biashara zako izae.
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom