Nahitaji mkopo wa Milioni 10 dhamana hati ya nyumba

Ni limbukeni Moja linakuja tambia watu na stori za USA Kwa ID lake lingine.
Mimi wala si-show off. Na muda wa huo ujinga wa kuwa na ID za kiki sina. Niko hapa kujifunza na kufundisha wengine. Huo ujinga wa showing off niliufanya enzi hizo kama miaka 20 baada ya kushika hela mara ya kwanza. Kwa sasa hata ukikutana na mimi wala hautajua. Niko very simple. Ww ndio una matatizo bro. Nakuhurumia sana.
 
Basi jifunze kutunza privacy za watu.
 
The Wolf DocJayGroup Saint Anne DeepPond

Wakuu!
Nashukuru kwa mchango wenu muafaka nilofikia ni kuwarudia microfinances na kuwashawishi tena. Ikishindikana kabisa, nitauza hizi equipments zote za B1 na B2 (Ambazo ni zaidi ya Milioni 5) kisha nitaanza upya. Ila kuuza nyumba HAPANA.
Ahsanteni sana!!

Mkuu pambana
Mungu atakusaidia utafanikiwa.

Ila kuuza nyumba hata Mimi sishauri.
 
Kumbuka tu NIMESHAKUAMBIA!! Mtu mwenye akili kama yako, Mafanikio utayasikia tu kwa wengine. Na kwa bahati mbaya waAfrika kama ww ni wengi sana. Na ndio maana Africa pamoja na kuwa bara tajiri kuliko yote duniani kwa rasilimali (natural resources), lina watu maskini kuliko wote duniani. Sababu na chanzo ni watu wenye akili kama zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom