Nahitaji mkopo wa Milioni 10 dhamana hati ya nyumba

Hakuna cha kunirudisha nyuma
Acha ramli uchwara..

Hicho kioo unachopigia ramli,jiangalie nacho kisha sema kwa sauti"Mimi ni mshamba"

Jifunze kuheshimu privacy za watu.
Kumbuka tu NIMESHAKUAMBIA!! Mtu mwenye akili kama yako, Mafanikio utayasikia tu kwa wengine. Na kwa bahati mbaya waAfrika kama ww ni wengi sana. Na ndio maana Africa pamoja na kuwa bara tajiri kuliko yote duniani kwa rasilimali (natural resources), lina watu maskini kuliko wote duniani. Sababu na chanzo ni watu wenye akili kama zako.
 
Nilishafsnikiwa kwa kiwango changu,kama unabisha basi kajitundike.

Mambo ya bara la Africa havina uhusiano na huu uzi,pia havihusiani na kiherehere chako Cha wewe kupost picha za watu
Unawashwa wewe mpumbavu.

Akili kama Zako za milimbukeni hakuna anayezihitaji, Baki nazo.
 
Mkuu pambana
Mungu atakusaidia utafanikiwa.

Ila kuuza nyumba hata Mimi sishauri.
Ahsante sana dada,
siwez kuuza nyumba coz familia ni ya zaidi watu watano wenye kunitegemea. Kisha nikapange? Apo ina maana naenda kupanga nyumba nzima,naeza kujikuta faida nayopata inaishia kwenye kodi na kushindwa kujenga tena mpk naingia kabulini then hii familia nitaiachaje km sio kuniona mdingi flani alefanya maamuz ya kipuuzi sana uzeeni.
 
Nilishafsnikiwa kwa kiwango changu,kama unabisha basi kajitundike.

Mambo ya bara la Africa havina uhusiano na huu uzi,pia havihusiani na kiherehere chako Cha wewe kupost picha za watu
Unawashwa wewe mpumbavu.

Akili kama Zako za milimbukeni hakuna anayezihitaji, Baki nazo.
Unaona ulivyo na akili ndogo? JF ni forum, na sometimes mtu unaweza ku-digress na sio kosa kufanya hivyo alimradi ni kitu cha kujenga na sio cha kubomoa. Sijui hata shule umeishia darasa la ngapi ww. Hata kama umeelimika, hio elimu haijakusaidia KITU. POLE SANA.
 
Ahsante sana boss,this is what he deserve.Yaani kumiliki nyumba tu ndo umvunjia mwenzio heshima? Halafu mambo ya kutambia na kukashifu watu kwa kusema namiliki hiki na kile yamepitwa sana jaman.Kwanin tunakua hivi?
Mbona mnaringia sana watoto wenu kwa mitandao na waume na wake zenu? Mnasema my husband, my wife, my kids na kupost picha kibao???. Sasa kama mtu kapambana sana maishani na kafanikiwa sana asisheherekee alicho nacho. Sometimes inatokea tu pasipo kumaanisha. Lakini mtu unapenda vitu ulivyovifanyia kazi na sometimes una-share tu na watu sababu vinakufurahisha. Samahanini kama nimewaudhi.
 
Haijalishi?? Lazima mtu usimame for what you believe in. Mafanikio yangu sijayapata kwa kuyumba yumba. Kwa hio waseme, waponde, I really DO NOT CARE . Na nitapost chochote kinachonifurahisha as long as simuumizi mtu.
Basi anzisha uzi wa kuyaelezea mafanikio yako
 
Basi anzisha uzi wa kuyaelezea mafanikio yako
Niko proud sana na nilichofanya maishani. Sikuwa na Baba alitelekeza family nikiwa na miaka 8. Mama alikuwa hana uwezo kabisa. Lakini nikapambana sana maishani. Kwa hio ni furaha kwangu ku-share na wengine mafanikio yangu ambayo nimepambania sana. Mara nyingine simaanishi, lakini inatokea tu. Usipopenda chako ni kosa sababu Hakuna atakayekipenda iwapo ww hautakipenda na kukipambanoa kiendelee kunawiri na kukua
 
Si mngeniomba hivyo kistaatabu ww na wenzako tokea mwanzo? Mmenitukanaaaaa halafu sana ndio unaniomba kistarabu??
Mkuu unaweza kuamua kufuta au kuendelea kulumbana. Either way it's okay kwangu!!
 
Mbona mnaringia sana watoto wenu kwa mitandao na waume na wake zenu? Mnasema my husband, my wife, my kids na kupost picha kibao???. Sasa kama mtu kapambana sana maishani na kafanikiwa sana asisheherekee alicho nacho. Sometimes inatokea tu pasipo kumaanisha. Lakini mtu unapenda vitu ulivyovifanyia kazi na sometimes una-share tu na watu sababu vinakufurahisha. Samahanini kama nimewaudhi.
Hapana ukuo sahihi na hasa sometimes mtu mafanikio anakua ameyapata kwa mapambano magumu but my point ilikua angalau kutumia lugha itakayo mfariji mwenzio,kwasabbu jamaa alichokizungumza ni mtu ambaye yuko kwenye changamoto sio ndogo,mbaya zaidi sio ya kujipigania yeye pekee bali kuna watu nyuma ambao wanamtegemea.Kwahyo majibu yako ilikua kama vile una mwongeza kidonda.
Kuna wakati wenzetu wakipita kwenye magumu hata kama hatutawasaidia kwasababu zetu but maneno ya faraja ni bure,ni vyema kuwafariji au kuwaheshimu
 
Sawa mkuu. Nimekuelewa sana. Hakuna mtu ambaye ni perfect. Hata mimi napenda kuelimishwa. Na maneno kama haya ya ustaarabu ni lazima mtu ayaelewe. Na nimekuelewa kwa asilimia zote.
 
MWANADAMU,MWANADAMU,kusikudanganye kujitosheleza kwko kwa leo,hakika kesho yako huijui na hicho ndo kitu cha kuogopa sana.Huenda wapumbavu wa leo wakawa ndio wenye maarifa kwenye kesho yako ngumu.Usinajisi baraka zako,mafanikio yako kwa kudharau wengine!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom