macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,476
- 61,356
Sidhani kuna mtu atakuwa mjinga akupe mkopo na vfaa ubaki navyo wewe! Akikupa bado unaweza kuviuza halafu atakapokuja ukamwambia viliibiwa hivyo unahitaji muda kulipa. Kwa kawaida bond yoyote ya mkopo anayebaki nayo ni mkopeshajisitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
Ukiachana na hizo dhamana zako, je unaye mtu anayeweza kukudhamini?sitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
Niuzie kitandani furniture mkuu sofa, kabati,tv flat inch 32,frij,kitanda n.k
Duuh ukikimbia mji itakuwaje maana wengi tu wamekimbia.Ndio tunaandikishiana vitu vitakuwa kwangu
Sasa wewe mtu akupe milioni moja halafu ukae na vyombo vyako,upo serious?sitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
Hauko seriously kid, unaandika ngonjera za kusadikikaMimi ni mjasiliamali mzuri tu na hiyo pesa ambayo na hitaji sio big deal sanaa kwangu ila tu nina dharura kitu ambacho siwez kufanya kuuza vitu au kuvitoa vitu kheri kama mtu yupo tayari anaweza kupga tathimini ya vitu nilivyonavyo vina thamani kubwa zaid ya hyo pesa ninayoomba
Yan nikupe mpunga wangu na dhamana bado ubaki nayo wewe!!!!!,your kidding.Mimi ni mjasiliamali mzuri tu na hiyo pesa ambayo na hitaji sio big deal sanaa kwangu ila tu nina dharura kitu ambacho siwez kufanya kuuza vitu au kuvitoa vitu kheri kama mtu yupo tayari anaweza kupga tathimini ya vitu nilivyonavyo vina thamani kubwa zaid ya hyo pesa ninayoomba
sio kumkana tu ile ukiviona na kumpa milioni, na ukiondoka, jamaa akiamua kuuza je na kuhama mtaa?
unaishi kwako? ukihama ulipopangasitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
Boss naomba msaada wa namba ya simu ya huyo jamaa,msaada please!Kuna jamaa anakupa mkopo chap kigezo chake kadi ya gari kama unalo ,utachukua mkopo kulingana na thamani ya gari
Nitumie na mimi mkuuNakutumia pm mkuu
Akichukua card ni mwaminifu mkuu, kuna wanaochakachua kadi za gariNakutumia pm mkuu
ukihama? nyumba yakositak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
ni furniture mkuu sofa, kabati,tv flat inch 32,frij,kitanda n.k
Kwema chief??