Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

Kuna jamaa anakupa mkopo chap kigezo chake kadi ya gari kama unalo ,utachukua mkopo kulingana na thamani ya gari
Mkuu najua uzi ni wa muda kidogo sijui hata kama mpo active. Ila shida yangu na mimi ni namba ya huyo jamaa naombeni mnisaidie
IGWE kama uliipata msaada chief naomba nitumie.

ichenjezya
 
Back
Top Bottom