chardonnay
Member
- Aug 13, 2018
- 34
- 2
- Thread starter
- #21
Ndio tunaandikishiana vitu vitakuwa kwanguSasa huyu atakayekupa huo mkopo ina maana dhamana unabaki nayo wewe au inakuwaje? Hebu funguka ili kusiwe na maswali mengi
Sent using Jamii Forums mobile app