Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

sitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
Sidhani kuna mtu atakuwa mjinga akupe mkopo na vfaa ubaki navyo wewe! Akikupa bado unaweza kuviuza halafu atakapokuja ukamwambia viliibiwa hivyo unahitaji muda kulipa. Kwa kawaida bond yoyote ya mkopo anayebaki nayo ni mkopeshaji
 
Hivi humu kuna watoa mikopo humu mmmnnh! 😀😀😀😀
 
sitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
Ukiachana na hizo dhamana zako, je unaye mtu anayeweza kukudhamini?
Awe mfanyakazi wa umma...
 
Mimi ni mjasiliamali mzuri tu na hiyo pesa ambayo na hitaji sio big deal sanaa kwangu ila tu nina dharura kitu ambacho siwez kufanya kuuza vitu au kuvitoa vitu kheri kama mtu yupo tayari anaweza kupga tathimini ya vitu nilivyonavyo vina thamani kubwa zaid ya hyo pesa ninayoomba
 
sitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
Sasa wewe mtu akupe milioni moja halafu ukae na vyombo vyako,upo serious?
Ukihama usiku na hivyo vyombo,what is next?
 
Mimi ni mjasiliamali mzuri tu na hiyo pesa ambayo na hitaji sio big deal sanaa kwangu ila tu nina dharura kitu ambacho siwez kufanya kuuza vitu au kuvitoa vitu kheri kama mtu yupo tayari anaweza kupga tathimini ya vitu nilivyonavyo vina thamani kubwa zaid ya hyo pesa ninayoomba
Hauko seriously kid, unaandika ngonjera za kusadikika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mjasiliamali mzuri tu na hiyo pesa ambayo na hitaji sio big deal sanaa kwangu ila tu nina dharura kitu ambacho siwez kufanya kuuza vitu au kuvitoa vitu kheri kama mtu yupo tayari anaweza kupga tathimini ya vitu nilivyonavyo vina thamani kubwa zaid ya hyo pesa ninayoomba
Yan nikupe mpunga wangu na dhamana bado ubaki nayo wewe!!!!!,your kidding.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usituingize chaka. Kuna mwenzio kaachiwa nyumba na dada yake aliyekwenda nje ya nchi. Dogo akachukua mkopo mzuri tu kwa kuweka vitu vya ndani kama dhamana. Watoa mikopo nao sio makini. Bila kuuliza kama pale chalii ni kwake wakatoa 10 m. Dogo akaanza umalaya na pombe mpaka kawa mweupe. Siku dada anarudi dogo hakusema kitu. Baada ya siku tatu wakopeshaji wakatinga na lorry dogo kuona lorry aliingia mitini na kumwachia dada msala. Walikomba kuanzia vitanda hadi frigi na tiivii. Sasa hivi dogo na dada hawaongei
 
sitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
unaishi kwako? ukihama ulipopanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
ukihama? nyumba yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom