Nahitaji mkopo wa 300m, benki gani itanipatia?

Nahitaji mkopo wa 300m, benki gani itanipatia?

Nzige Mnandi

Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
21
Reaction score
6
Jaman nina sida na mkopo wa 300m. Benk gani wanaweza kunipatia kwa muda mfupi ni boost mradi wangu Jaman.
 
Benki yoyote inaweza kukupa mkop huo ili mradi umetimiza vigezo vya mikopo
 
Kiasi hicho ni lazima uwe tayari kutoa taarifa nyingi binafsi na za kibiashara.
Uwe na mali isiyohamishika yenye thamani isiyopungua 500m maana wataithaminisha kwa 60% ya bei ya soko.
Pamoja na andiko zuri la mpango wa unachotaka kufanya kikionyesha cashflow yaani mapato na matumizi ya mradi kwa zaidi ya miaka 5 mbele.
Kwa kifupi. Jipange.
Au kachukue za moto mitaani. Zile za kuandika nimeuza nyumba yangu ifikapo tarehe .... endapo sijarejesha mkopo huu.
 
Aisee bado kidogo nikutakane, nikaogopa maana nimeamua kufunga mungu aniongoze kuukabili huu ukata,

Yaani hali ilivongumu hivi, halafu wewe unazitaja 300M kiurahisirahisi tu, tena unaweka na m ndogo kwenye 300M, aisee umetukosea sana adabu
 
Benki zote zinatoa mikopo. Cha muhimu uwe na biashara 'inayojieleza' yani iwe na mzunguko wa kutosha kuzalisha pesa. Pia current assets zako angalau ziwe zina thamani ya milioni 450, na pia fixed asset ambazo zitatumika kama collateral (dhamana) zenye thamani angalau milioni 450 (150%) ya mkopo ulioomba...
Ukitimiza hayo mashariti benki nyingi zinaweza kukupa hiyo hela. Ila usiende kwenye microfinance bank maana hizi zina limit ndogo ya kutoa mkopo. Maximum Microfinance bank zinaweza kukukopesha hadi milioni mia tu!
 
bank nyingi siku hizi zimeacha kukopesha kaka labda uende ACCESS bnk wanakopesha ingawa cjui kama wana limit ya mkopo

note:
chochote utakacho weka kama dhamana ya mkopo access hawana kuremba wanauza mara moja pale tu unaposhindwa kurejesha mkopo wako
 
Aisee bado kidogo nikutakane, nikaogopa maana nimeamua kufunga mungu aniongoze kuukabili huu ukata,

Yaani hali ilivongumu hivi, halafu wewe unazitaja 300M kiurahisirahisi tu, tena unaweka na m ndogo kwenye 300M, aisee umetukosea sana adabu
hahahaha Pole sana kaka, nisamehe bure.
Nataman waliozificha wazitoe.
 
Jaman nina sida na mkopo wa 300m. Benk gani wanaweza kunipatia kwa muda mfupi ni boost mradi wangu Jaman.

Process ya mkopo bank zote ni ile, tofatui ni idadi ya mikopo wanayo process kwa wakati na haja yao ya kupata wakopaji.

BOA, Equity, na CBA wako vizuri waone
 
Ukifanikiwa niambie mimi nahitaji mkopo wa 200million tu collateral ninazo
 
nakushauri pia zukishapata mkopo ,pia uombe benk overdraft ,anytime utakuwa na access ya kupata pesa kulungana na limit ,as long collateral zipo vizuri. hii itakusaidia Ku boost working capital
 
Back
Top Bottom