Nahitaji mke wa kuoa

Nahitaji mke wa kuoa

Troubleshooter

Senior Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
130
Reaction score
150
Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa ngumu kupata mwenzi wa maisha. Baada ya kuachana na partner wangu mwanzoni mwa mwaka huu nimekuwa single kwa muda. Nahitaji mke wa kuoa sio kuchezeana, aliye tayari naomba aje inbox ili tuyajenge.

Umri = Miaka 36
Dini = Mkristo
Kazi = IT
Elimu = Degree
Urefu = 5.8"
Uzito = Kg 70
Rangi = Mweupe
Kabila = Mchaga
Ninapoishi = Dar

Vigezo Vyangu:
Nahitaji mwanamke mcha Mungu mwenye malengo ya muda mrefu. Niko tayari kufuata taratibu zote atakazonipa ili kufunga naye ndoa. Nahitaji mwanamke aliye serious pekee.

Ahsanteni.
 
Senior hizi kelele za team KATAA NDOA wewe umeamua kuzifumbia macho kabisa..?😄
 
Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa ngumu kupata mwenzi wa maisha. Baada ya kuachana na partner wangu mwanzoni mwa mwaka huu nimekuwa single kwa muda. Nahitaji mke wa kuoa sio kuchezeana, aliye tayari naomba aje inbox ili tuyajenge.

Umri = Miaka 36
Dini = Mkristo
Kazi = IT
Elimu = Degree
Urefu = 5.8"
Uzito = Kg 70
Rangi = Mweupe
Kabila = Mchaga
Ninapoishi = Dar

Vigezo Vyangu:
Nahitaji mwanamke mcha Mungu mwenye malengo ya muda mrefu. Niko tayari kufuata taratibu zote atakazonipa ili kufunga naye ndoa. Nahitaji mwanamke aliye serious pekee.

Ahsanteni.
huko kote ulikopita ktk masomo yako umekosa kabisa mtu uliyeona unaweza kuishi naye? huendagi kanisani/msikitini? familia yenu haina family friends? huku Jf hata demu wa kusogeza muda tu sikushauri coz najua utaishia kupigwa na kitu kizito alafu kesho kutwa unakuja hapa kulia team kataa ndoa wanachukua point 3 za bure
 
We nawe acha kubania dada zako fursa, kwani waliopo huko mtaani si ndo sisi wa mtaani..!! 😏
 
huko kote ulikopita ktk masomo yako umekosa kabisa mtu uliyeona unaweza kuishi naye? huendagi kanisani/msikitini? familia yenu haina family friends? huku Jf hata demu wa kusogeza muda tu sikushauri coz najua utaishia kupigwa na kitu kizito alafu kesho kutwa unakuja hapa kulia team kataa ndoa wanachukua point 3 za bure
Sikupata huko kote niliyempata hakuwa ridhiki niliishi naye safari yetu ikafikia ukingoni, tulibahatika mtoto lakini mwenzangu alibadilika mwishoni. Natafuta aliye serious popote pale hata kama humu yupo nitampokea tukiridhiana.
 
Kwa nini unataka kuharibu maisha yako yaliyobakia hapa duniani ndugu yangu??!!! Ama ni midlife crisis & shinikizo kutoka kwa wazazi/jamii??!!
 
huko kote ulikopita ktk masomo yako umekosa kabisa mtu uliyeona unaweza kuishi naye? huendagi kanisani/msikitini? familia yenu haina family friends? huku Jf hata demu wa kusogeza muda tu sikushauri coz najua utaishia kupigwa na kitu kizito alafu kesho kutwa unakuja hapa kulia team kataa ndoa wanachukua point 3 za bure
Lakini waliopo JF ndio haohao tunakutana kanisani au vipi Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom