Troubleshooter
Senior Member
- Mar 30, 2016
- 130
- 150
- Thread starter
- #21
Ukisema romantiki unamaanisha nini? Sio wachaga wote wako hivyo Mimi ni tofauti.Mchaga wewe kaka yangu hunidanganyi kitu😄
Ukisema romantiki unamaanisha nini? Sio wachaga wote wako hivyo Mimi ni tofauti.Mchaga wewe kaka yangu hunidanganyi kitu😄
Ungekuwa romantic wewe wala usingesumbuka kuleta bango humu la kutafuta mpenzi. Kuna tatizo mahaliUkisema romantiki unamaanisha nini? Sio wachaga wote wako hivyo Mimi ni tofauti.
Hakuna tatizo ila kama hauko interested basi haina shida, nikutakie muda mwema Mimi Niko powa tu na najiamini kwa kila ninacho kifanya.Ungekuwa romantic wewe wala usingesumbuka kuleta bango humu la kutafuta mpenzi. Kuna tatizo mahali
Kazana kijana, mke material utapata, waambie waje kwenye boksi uwafanyie usailiSikupata huko kote niliyempata hakuwa ridhiki niliishi naye safari yetu ikafikia ukingoni, tulibahatika mtoto lakini mwenzangu alibadilika mwishoni. Natafuta aliye serious popote pale hata kama humu yupo nitampokea tukiridhiana.
Njoo niko hapaHabari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa ngumu kupata mwenzi wa maisha. Baada ya kuachana na partner wangu mwanzoni mwa mwaka huu nimekuwa single kwa muda. Nahitaji mke wa kuoa sio kuchezeana, aliye tayari naomba aje inbox ili tuyajenge.
Umri = Miaka 36
Dini = Mkristo
Kazi = IT
Elimu = Degree
Urefu = 5.8"
Uzito = Kg 70
Rangi = Mweupe
Kabila = Mchaga
Ninapoishi = Dar
Vigezo Vyangu:
Nahitaji mwanamke mcha Mungu mwenye malengo ya muda mrefu. Niko tayari kufuata taratibu zote atakazonipa ili kufunga naye ndoa. Nahitaji mwanamke aliye serious pekee.
Ahsanteni.