Nahitaji mke atakayeendana na wito wangu

Nahitaji mke atakayeendana na wito wangu

kwa jinsi nilivyomuelewa.....hataki wa kumpatia kanisani hapohapo.....anataka wa nje ....ingawa ni mkristo.....yani nje ya kanisani....iwe tu uku mtaani.....

Sasa atakayempatia hapa haendi kanisani?
 
Sasa atakayempatia hapa haendi kanisani?

anaenda....ni kama kusema sitaki mwanamke ambae anasoma chuo kimoja ....lakini huyo mwanamke amesoma chuo kingine.....au ugumu uko wapi....? au kusema mwanaume wa ofisi moja sitaki..ila awe mfanyakazi.....sijui kama nimeeleweka aisee....
 
Hata malaika ashuke leo kamwe haitaweza tokea best kwani ni nani anayetaka asiyechakarika kila mtu anataka aliyechakarika kimpango mzima sio kukaa kama shombe
huyu ni mchumia tumbo tu hana cha kutafuta mchumba wala cha nini, this is another mariooo ndio maana ame-specify anataka mwanamke anaejiweza???
ladyfurahia if u're single chance hiyo hapo, take carw of the guy. I know u're a good fightee:d
 
Hata malaika ashuke leo kamwe haitaweza tokea best kwani ni nani anayetaka asiyechakarika kila mtu anataka aliyechakarika kimpango mzima sio kukaa kama shombe

Wanawake na nyie siku hizi mmekuwa so selective!

Mkutano wa Beijing umewasaidia sana😀
 
anaenda....ni kama kusema sitaki mwanamke ambae anasoma chuo kimoja ....lakini huyo mwanamke amesoma chuo kingine.....au ugumu uko wapi....? au kusema mwanaume wa ofisi moja sitaki..ila awe mfanyakazi.....sijui kama nimeeleweka aisee....
Sister mm nimekuelewa vizuri sana!
 
Last edited by a moderator:
anaenda....ni kama kusema sitaki mwanamke ambae anasoma chuo kimoja ....lakini huyo mwanamke amesoma chuo kingine.....au ugumu uko wapi....? au kusema mwanaume wa ofisi moja sitaki..ila awe mfanyakazi.....sijui kama nimeeleweka aisee....

Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba hataki mwanamke wanaesali kanisa moja si ndivyo?
 
Jamii forums.

Nimekuja hapa mimi ni Musician Gospel napiga piano, drums na gitaa but kwa sasa nimemaliza project yangu nilyoifanya kama ya John lisu hivyo tatizo linakuja kufanya Huduma ya MUNGU kama hujaoa inasumbua hivyo nahitaji mwanamke anayeweza elewa kile mi nafanya awe mcha MUNGU.

Mwenye uwezo kielimu kidogo cause tunaweza tukawa tunatoka nje ya nchi hivyo kwenye kusaini mikataba na wageni inahitajika elimu pia awe na hata kauwezo kidogo ili tutakapo panga project za kufanya kuhusu industry yetu ambaye mbeba maono ni Mimi isiwe ngumu kufanya on time jamani.

Aawe mkristo tu, na umri awe kuanzia umri usiozidi miaka 26 basi hata kama akinizidi awe anajiheshi tutaenda kwa pastor na prose's zitafuatwa jamani, ukihitaji vigezo +255714255432. Naamini hapa jibu litapatikana Jamii forums

MUNGU awabariki.

anadai Mungu Mungu Mungu unatafuta mke mtandaoni? wa style unayoitaka wako hukohuko kanisani, au umeshawachakaza wote maana wapiga vinanda wengi nyie ni makahaba wa kutupwa
 
Back
Top Bottom