kwa jinsi nilivyomuelewa.....hataki wa kumpatia kanisani hapohapo.....anataka wa nje ....ingawa ni mkristo.....yani nje ya kanisani....iwe tu uku mtaani.....
jf nimekuja hapa Mimi ni musician gospel napiga piano, drums na gitaa bass but kwa sasa nimemaliza project yangu nilyoifanya kama ya John lisu hivyo tatizo linakuja kufanya Huduma ya MUNGU kama hujaoa inasumbua hivyo nahitaji mwanamke anayeweza elewa kile mi nafanya awe mcha MUNGU, na mwenye uwezo kielimu kidogo coz tunaweza tukawa tunatoka nje ya nchi hivyo kwenye kusaini mikataba na wageni inahitajika elimu pia awe na hata kauwezo kidogo ili tutakapo panga project za kufanya kuhusu industry yetu ambaye mbeba maono ni Mimi isiwe ngumu kufanya on time jaman, awe mkristo tu, na umri awe kuanzia umri usiozidi miaka 26 basis hata kama akinizidi awe anajiheshi tutaenda kwa pastor na prose's zitafuatwa jamani, ukihitaji vigezo +255714255432 Naamini hapa jibu litapatikana Jf MUNGU awabariki
jamaani kama ningetaka wa kanisani nadhani ungeona nimeandika hapo ila kikubwa cha moyoni mwangu ni kuwa na mke mbali na kanisa but awe mkristo iwe anatoka marekani au haendagi kanisani but awe tu mkristo.
#Miss chagga zari hilo ushindwe wewe
Mbona hujamuita hebu ngoja nikusaidie haloo.... miss chagga ukuje huku unaitwa
hapo sawa je mshika hela pia ni mimi au?
ngoja niwe dalali hapa .... aise niceone umesikia swali hili hebu jibu fasta usije kosa mke
akijibu niite
usijali mama mbona kazi nimeipata
niceone umesema wadada wa kanisani hawafai???Dah makanisani haifai na sihitaji wa kanisani mimi
wandugu mko vyema shukrani nyote ila ajuaye kuuchunguza moyo wa mwanadamu ni MUNGU hivyo haijarishi wa kanisani au sio wa kanisani kikubwa with nilionao kwake atauona ni wa faida au laaaa? thaz only.
Mkuu Nice,
Unajichanganya au unataka kuchanganya mada!
Utasemaje ( haendagi kanisani) lakini awe mkristo. Yaani , awe mkristo kibandiko, yaani jina tu? Halafu, unasema una wito wa kumtumikia Mungu na unatafuta msaidizi kwa ajili ya kuenenda na huduma uliyo nayo? Kama huduma hii imetoka kwa Mungu. Basi muulize Mungu mwenyewe aliyekupa huduma.
Wapo watumishi wake..na hili sio jumla jumla tu, yupo baba yako wa Kiroho umshirikishe kwa ushauri kwa namna ya kuliendea hili? Au hauna baba wa Kiroho ?
Utakachopata hapa JF ni ushauri wa watu kukurudisha au kuwasiliana na baba yako wa kiroho tu, zaidi ya hapo ni hadithi.
Baba yako wa kiroho anakujua na hata watu unaosali nao, vilevile pata ushauri kwa watu wenye huduma kama yako.
Mwisho wa siku Roho Mtakatifu ndiye mfunuaji wa yote, Yesu Kristo, alisema atakapokuja Mfariji, atakuelezeni yote.
Pata Ushirika na Roho Mtakatifu.
Christina Shusho, aliimba Ninataka Ushirika Nae Ewe Roho.. Sikiliza huo wimbo unapata mafunuo mazuri ya kumpata mwenzi.
Mungu akusaidie sana na ujinyenyekeze kwa Roho. Be Blessed without measure.
Dah makanisani haifai na sihitaji wa kanisani mimi
niceone umesema wadada wa kanisani hawafai???
Omg, hebu nifafanulie kidogo ndg yangu hapo sijakuelewa kabisa😕
Pia mi najua kama ww ni mlokole huwa kuna taratibu fulani za ww kukutanishwa na wa ubani wako automatically!
wandugu mko vyema shukrani nyote ila ajuaye kuuchunguza moyo wa mwanadamu ni MUNGU hivyo haijarishi wa kanisani au sio wa kanisani kikubwa with nilionao kwake atauona ni wa faida au laaaa? thaz only.
Bora ya wewe uliyeongea maana tungeongea siye hapa yangeshuka majanga bure
hata mm amenishangaza sana kusema kanisani hakuna wadada ila hapa jf
ngoja tumpe makombora atarudi huko huko kanisani na hapa hataapaona pachungu