Steven Mwakyusa
Member
- Dec 27, 2012
- 44
- 1
Habari zenu!!
Matema Workshop iliyopo Kyela mkoani Mbeya inatangaza nafasi moja ya kazi!!
Sifa za muombaji!!
1. Awe amehitimu mafunzo ya ufundi, VETA au chuo kingine chochote!
2. Awe amesomea Mechanics au welding
3. Awe mtu wa kujituma na kuheshimu kazi yake!
NB; Mshahara ni makubaliano, pia atapata allowance ya nyumba.
Mawasiliano
simu: 0752718685
email: mwakyusasteven@gmail.com