Nahitaji mchumba wa kiume

Nahitaji mchumba wa kiume

Wewe wa jinsia gani? Maana hapo Malawi,jirani yenu u-Cammeroon umeshaanza. Hiyo shahada yako ni ya nini? Vipi kupima VVU?
 
Npo mie we sema tu.Jina langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326

...hii mitandao jamani!! Utatoaje contacts zako kwenye public hivi dogo??? Hebu nenda private mkaongee huko!!
 
Weka dimension za kipochi manyoya kwanza. Diameter?, thickness?, depth?, length? Zote cm ngapi?
 
Npo mie we sema tu.Jina
langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa
hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi
dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa
mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326
aiseee unavua nguo elimu yako yaani hufai kuitwa msomi,
 
nina miaka 25,muajiriwa.elem yangu ni shahada.mkristo mcha mungu.niko mbeya.nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.elimu kuanzia form six,mwajiriwa au aliyejiajir,mkristo mcha mungu.karibun pm

Wewe ni mkristo mcha Mungu si ndiyo?? Na baada ya maombi Mungu amekujibu peleka tangazo JF si ndiyo?? Au umeona Mungu kachelewesha majibu?? Hebu nijibu hayo maswali ili nijue kama wewe ni mkristo wa kweli au unataka mwenzio ndiyo awe mcha Mungu ila wewe ni mkristo kanjanja?
 
uandishi wako unaonyesha kweli shule unayo.....huko Mbeya wilaya zote umekosa mke unakuja kutafta majini ya humu FB?
 
nipim tu nikupe namba tuendelee nakuja mbeya mwezi ujao kikazi
 
nina miaka 25,muajiriwa.elem yangu ni shahada.mkristo mcha mungu.niko mbeya.nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.elimu kuanzia form six,mwajiriwa au aliyejiajir,mkristo mcha mungu.karibun pm

Bikira zote zipo? Nijulishe
 
nina miaka 25,muajiriwa.elem yangu ni shahada.mkristo mcha mungu.niko mbeya.nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.elimu kuanzia form six,mwajiriwa au aliyejiajir,mkristo mcha mungu.karibun pm
Khaa!! Ni hivi tu ndiyo unahitaji kutoka kwake?? :A S-confused1:
 
Npo mie we sema tu.Jina langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326

hahaha! Domo zege kazini!
 
Wewe ni mkristo mcha Mungu si ndiyo?? Na baada ya maombi Mungu amekujibu peleka tangazo JF si ndiyo?? Au umeona Mungu kachelewesha majibu?? Hebu nijibu hayo maswali ili nijue kama wewe ni mkristo wa kweli au unataka mwenzio ndiyo awe mcha Mungu ila wewe ni mkristo kanjanja?
Mungu kachelewesha majibu na binti anataka ndoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom