Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
wnaume mpo wapi? au meshaenda
Nipo na wewe mama, usijali
wnaume mpo wapi? au meshaenda
Anataka muajiriwa au aliyejiajiri mwanafunzi huna chako.tuachie mtotoNpo mie we sema tu.Jina langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326
Wewe ni mkristo mcha Mungu si ndiyo?? Na baada ya maombi Mungu amekujibu peleka tangazo JF si ndiyo?? Au umeona Mungu kachelewesha majibu?? Hebu nijibu hayo maswali ili nijue kama wewe ni mkristo wa kweli au unataka mwenzio ndiyo awe mcha Mungu ila wewe ni mkristo kanjanja?[/QUOT
Umeongea kweli
Nipo na wewe mama, usijali
Nishike kiuno.basi loh
Amesema Uende PM mbona hamfuati instruction jaman?
Nina miaka 25,
Muajiriwa.
Elimu yangu ni shahada.
Mkristo mcha mungu.
Niko mbeya.
Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.
Elimu kuanzia form six,
Mwajiriwa au aliyejiajiri,
Mkristo mcha mungu.karibuni pm
Na wewe unatafuta?Dada ukifanikiwa uletee feedback janvini mamy wish u the best ila kuwa makini usije kutana na ma humanizer.
Nina miaka 25,
Muajiriwa.
Elimu yangu ni shahada.
Mkristo mcha mungu.
Niko mbeya.
Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.
Elimu kuanzia form six,
Mwajiriwa au aliyejiajiri,
Mkristo mcha mungu.karibuni pm
wnaume mpo wapi? au meshaenda