Nahitaji Mbegu chotara ya Alizeti

Ozan Goren

Member
Aug 16, 2017
44
26
Naomba kufahamu mahali ninakoweza kupata mbegu ya Alizeti (Hybrid) kutoka India NSFH 36 na NSFH 145.
Msaada wenu tafadhali
 
Kama kimya embu jaribu Ku gugo kama kuna wakala mahali ukirudi nijulishe
 
Hizi mbegu zinaweza kuwa zinatoa mabuno mengi lakini kiwango cha mafuta ni kidogo sana ukolinganisha na mbegu aina ya record ya hapa kwetu ambayo inatoa mafuta mengi.
 
Halafu hiyo mbegu ya India unajuaje kuwa itastawi Tanzania? Mbegu zote toka nje ya nchi ni lazima zijaribiwe na Vituo vya utafiti hapa nchini kabla watu hawajapewa vibali vya kuziagiza na kuuza hapa nchini. Na majaribio hayafsnywi msimu mmoja tu, ni angalau misimu 3. Ndio ilivyo kwa pembejeo nyingine zinazotoka nje kama vouatilifu na mbolea. Haviji kienyeji tu.
 
Mkuu hivi zile mbegu za Kenya zimeruhusiwa nchini? Maana nao Kenya kwa zile mbegu ubora wake ni kama hizo za India tu
 
Halafu hiyo mbegu ya India unajuaje kuwa itastawi Tanzania? Mbegu zote toka nje ya nchi ni lazima zijaribiwe na Vituo vya utafiti hapa nchini kabla watu hawajapewa vibali vya kuziagiza na kuuza hapa nchini. Na majaribio hayafsnywi msimu mmoja tu, ni angalau misimu 3. Ndio ilivyo kwa pembejeo nyingine zinazotoka nje kama vouatilifu na mbolea. Haviji kienyeji tu.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom