Nahitaji mbao za mninga ama mbao ngumu

Nahitaji mbao za mninga ama mbao ngumu

wiser1

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
2,606
Reaction score
3,981
Habari huku


Nahitaji mbao ya mninga ,mbao 400 zenye futi 8-10. Ama mbao ngumu isiyoweza kuliwa na mchwa kwa urahisi. Niko moshi bei za hapa zimenizidi uwezo kwahyo ambae tunaweza fikia bei nitakayoweza kununua aje hapa.


Asanteni ,
 
Back
Top Bottom