Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,501
- Thread starter
- #21
mbona upo juu sana mkuu mawe gani hayo ? upo dar sehemu gani?35000 kwa cubic metre moja
mbona upo juu sana mkuu mawe gani hayo ? upo dar sehemu gani?35000 kwa cubic metre moja
duh neno la zamani hilo....kujua neno hili lazima uwe umekula ugali wa yanga!Unajua nitakutovuga ujinga ukutoke
Ungetaja kwa cubic meters ingeeleweka vyema, na site ni wapi?Nahitaji mawe trip zaidi ya 50 Dar siku ya leo, kesho na Jumamosi.
Kama unazo njoo inbox.
Kupakia na mawe yenyewe yasizidi laki moja gari ni kubwa mwisho wa mawasiliano saa tano.
mable tu msolwa unayo?[/QUOTE
YAPO
35000 kwa cubic metre moja
Wengi hwalijui hili neno na hata huyo Miss Natafuta hajui maana ya hilo neno amebaki kubana pua tuduh neno la zamani hilo....kujua neno hili lazima uwe umekula ugali wa yanga!
Nitakutovuga