hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 853
- 2,037
Habari wanaJf.
"Thinking is good but overthinking can end things before they get chance to develop, it is the biggest cause of unhappness" alisikika mwalimu wangu akijaribu kunishauri.
Kufikiria ovyo ovyo kupita kiasi ni hali inayonikumba, siipendi kwasababu:
Inapelekea kubadili Maamuzi ghafla yaani nabadilikabadilika ndani ya mda mchache.
Sina furaha kabisa hata kama nimekaa bado mamilioni ya mawazo yanatembea kwa kichwa changu.
Nakosa kujiamini kabisa, najihisi mwenye hatia kwa kile nachokifanya kisha najutia mda mchache baadaye.
Kuna muda najikuta kwenye msongo wa mawazo bila sababu
Lakini mbaya zaidi nina marafiki wachache nao wako mbali sana na mimi.
Hivyo 98% ya muda wangu nautumia nikiwa mpweke (Introvert) hali inakuwa mbaya zaidi. kuna muda nawaza hata kufanya maamuzi mabaya. Naamini JF kuna ma therapist na watu wenye uwezo wa kunishauri nini cha kufanya au waliowahi kupatwa na hali kama hii.
Msaada please