Nahitaji matibabu ya kisaikolojia. Nina tatizo kubwa la kufikiria kupita kiasi 'overthinking'

Herman,

You must be between 25 - 35 years of age, na una IQ nzuri kuliko wengi wanaokuzunguka na uliokua nao tokea utotoni. Ukiwaangalia kazi na mambo wanayofanya unaona hatua kadhaa mbele yao like wanajipotezea time na mipango yao...
Yaani mkuu ni kama umekopi kichwan kwang mimi mwenyewe nipo hivyo Mungu atusaidie hayo yote uliyosema ndo napitia
 
Poleni sana.. Mimi huwa naufanya ubongo uwe free from anything. Yaani siwazi chochote kwa dkk chache
 
Yan mkuu n Kama umekopi kichwan kwang mm mwenyew Nipo hivo mungu atusaidie hayo yote uliyosema ndo napitia
Mkuu Social Anxiety Disorder sijui ndo inabeba overthinking ndani yake hivi vitu vinanitesa sana vinaniua taratibu sina raha kabisa
 
Herman,

You must be between 25 - 35 years of age, na una IQ nzuri kuliko wengi wanaokuzunguka na uliokua nao tokea utotoni. Ukiwaangalia kazi na mambo wanayofanya unaona hatua kadhaa mbele yao like wanajipotezea time na mipango yao. Na probably kinachosababisha hilo swala la overthinking ni;

1) Mambo hayaendi kama unavyotaka yawe. Japo unajua mbele kuna mwangaza mzuri (Something is Blocked). Kuna kitu unakua unahisi kina funga mambo yako hayaendi na muda unaona unakwenda haraka katika maisha.

2) Unaona watu wanaokuzunguka hawakuelewi, na hawana mipango na maisha yako. Either way, sometimes you dont give a damn kwa wanachofikiria cuz unajua one day mambo yatakaa poa na watarudi kujikomba kwako.

3) Una mipango mizuri sana kichwani, hasa projects, ila huna funds za kuzifanya na kuzisimamisha, wala huna support ya mtu kukuwezesha kutekeleza. Na wewe sio mtu wa kuombaomba misaaada hasa ya hela.

4) kwako "trust" matters kuliko "uwezo" wa mtu kifedha au magari au tangible stuffs (Trustwothy Brave hearts). Ila kwa dunia hii yetu ya leo uwezo wa kifedha ndio una matter, so unajiona kama umetengwa na dunia peke yako.

5) Ni mtu ambae hupendi kujishusha shusha, unaweza ukawa unafanya kazi fulani halafu out of no where ukaamua kuachana nayo. Akili inakua ishawasiliana na wewe kwamba hio kazi mwisho wake its not worth it at all. Unapoteza muda na nguvu.

Akili inataka ufanye kazi au jambo ambalo mwisho wake ni woth it the outcome. Sio jambo dogo dogo au gumu ambalo mwisho wake matunda sio mazuri.

6) Deep inside unajua purpose yako katika haya maisha, kwanini ulizaliwa na unatakiwa kufanya nini katika maisha haya (Destined for greatness), ila kuna vikwazo zingi kuliko uwezo uliopo. Ndio akili ina overthink (Inaona changamoto ni nyingi kuliko dalili kufanikisha mambo) unajikuta unakata tamaa ya maisha.

7) Sometime feelings zinakuja unatamani uoe mtu anaekuelewa machungu yako, thats all, uanzishe familia yako yenyekukuelewa na uangalie mengine yajayo huko katika ndoa.

Impact ndio inakuja kuwa mtu una overthink kupita kiasi kujikwamua kutoka hatua uliopo, ila stress inazidi zaidi na zaidi kwasababu huna pakushika kujikwamua hapo ulipo.

SOLUTION; Kuwa karibu na mungu sana, sali na omba kwa mungu bila kuchoka. Mambo yatakaa sawa na yatafunguka tu. Japokua kuna time itafika unaweza kuhisi kama vile mungu amefunga masikio na hasikii sala na maombi yako, ila usikate tamaa na endelea tu kwa kufanya ibada.

Pili stage kama hio, mtu wa calibre hio huwa anatokea kupiga bingo moja au mambo yanafunguka na hageuki nyuma kimaisha tena.

Sisi tulio kati ya 25 - 35 hatua hii katika maisha huwa tunaipitia. Maturity Stage. Though sio wote ila 90% tunapitia.

Your destined for greatness. Trust me and mark my words.

#Kama kuna kitu nimekosea katika hayo nilioandika be free kunirekebisha.

Hio stage inaitwa Midlife Crisis.
Nimekusoma mkuu, naamini ndio kipindi kigumu zaidi ambacho tunapitia vijana tunaotafuta mafanikio bila kuwa na msingi au msaada toka kwa wazazi au watu uliokuwa unawategemea. Mara nyingi ni hali ambayo tunakutana nayo sisi vijana tunaotoka kwenye familia maskini. Unakuwa huna wakukushika mkono.
 
Herman,

You must be between 25 - 35 years of age, na una IQ nzuri kuliko wengi wanaokuzunguka na uliokua nao tokea utotoni. Ukiwaangalia kazi na mambo wanayofanya unaona hatua kadhaa mbele yao like wanajipotezea time na mipango yao. Na probably kinachosababisha hilo swala la overthinking ni;

1) Mambo hayaendi kama unavyotaka yawe. Japo unajua mbele kuna mwangaza mzuri (Something is Blocked). Kuna kitu unakua unahisi kina funga mambo yako hayaendi na muda unaona unakwenda haraka katika maisha.

2) Unaona watu wanaokuzunguka hawakuelewi, na hawana mipango na maisha yako. Either way, sometimes you dont give a damn kwa wanachofikiria cuz unajua one day mambo yatakaa poa na watarudi kujikomba kwako.

3) Una mipango mizuri sana kichwani, hasa projects, ila huna funds za kuzifanya na kuzisimamisha, wala huna support ya mtu kukuwezesha kutekeleza. Na wewe sio mtu wa kuombaomba misaaada hasa ya hela.

4) kwako "trust" matters kuliko "uwezo" wa mtu kifedha au magari au tangible stuffs (Trustwothy Brave hearts). Ila kwa dunia hii yetu ya leo uwezo wa kifedha ndio una matter, so unajiona kama umetengwa na dunia peke yako.

5) Ni mtu ambae hupendi kujishusha shusha, unaweza ukawa unafanya kazi fulani halafu out of no where ukaamua kuachana nayo. Akili inakua ishawasiliana na wewe kwamba hio kazi mwisho wake its not worth it at all. Unapoteza muda na nguvu.

Akili inataka ufanye kazi au jambo ambalo mwisho wake ni woth it the outcome. Sio jambo dogo dogo au gumu ambalo mwisho wake matunda sio mazuri.

6) Deep inside unajua purpose yako katika haya maisha, kwanini ulizaliwa na unatakiwa kufanya nini katika maisha haya (Destined for greatness), ila kuna vikwazo zingi kuliko uwezo uliopo. Ndio akili ina overthink (Inaona changamoto ni nyingi kuliko dalili kufanikisha mambo) unajikuta unakata tamaa ya maisha.

7) Sometime feelings zinakuja unatamani uoe mtu anaekuelewa machungu yako, thats all, uanzishe familia yako yenyekukuelewa na uangalie mengine yajayo huko katika ndoa.

Impact ndio inakuja kuwa mtu una overthink kupita kiasi kujikwamua kutoka hatua uliopo, ila stress inazidi zaidi na zaidi kwasababu huna pakushika kujikwamua hapo ulipo.

SOLUTION; Kuwa karibu na mungu sana, sali na omba kwa mungu bila kuchoka. Mambo yatakaa sawa na yatafunguka tu. Japokua kuna time itafika unaweza kuhisi kama vile mungu amefunga masikio na hasikii sala na maombi yako, ila usikate tamaa na endelea tu kwa kufanya ibada.

Pili stage kama hio, mtu wa calibre hio huwa anatokea kupiga bingo moja au mambo yanafunguka na hageuki nyuma kimaisha tena.

Sisi tulio kati ya 25 - 35 hatua hii katika maisha huwa tunaipitia. Maturity Stage. Though sio wote ila 90% tunapitia.

Your destined for greatness. Trust me and mark my words.

#Kama kuna kitu nimekosea katika hayo nilioandika be free kunirekebisha.

Hio stage inaitwa Midlife Crisis.
Kwenye Mungu ndipo ulipoharibu. Ngoja niendelee kupambana
 
Bila shaka wale waliobuni msemo" life start at fourty; walizingatia zaidi kipindi hiki (Midlife crisis)hapo ndio mbivu na mbichi hujulikana.
 
Pole sana Mkuu wahi hospitalini. Ila hili neno lako limenikumbusha mpenzi, nikimuuliza kitu kama hana jibu au hataki kuongelea ataniambia you are overthinking now 😂😂😂😂nikisikia hilo neno napiga kimya.
 
Mkuu Alexander The Great ,shukrani sana kwa comment yako bora sana,kama itakupendeza ianzishie uzi ambao itakuwa na maelezo ya kina kuhusu 'Midlife crisis'...itasaidia wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom