Nahitaji mashine ya kusaga viungo

Feb 7, 2012
31
15
Habari wadau,

1. Je wapi naweza pata machine ya kusagia viungo vya chakula? Specification zake na bei yake, nahitaji isiyozidi laki3.

2. Kiwanda chenye kutoa vifungashio vya viungo na pilipili, na pia kupata customized seal.

Kama ni Kenya naombeni contact zao.

Picha nime attach ni aina ya chupa ninazohitaji au kama nitapata nzuri zaidi. Msiniambie Kariakoo nataka kununua direct from kiwandani na wala si kwa dalali.
 
Attachments

  • A6AC1522-582A-4C93-ACEA-9689F8FC1C41.jpeg
    A6AC1522-582A-4C93-ACEA-9689F8FC1C41.jpeg
    124.2 KB · Views: 206
Habari, nahitaji anzisha biashara ya viungo but real sina idea na biashara hiyo naomba contacts za wazoefu ili wanielekeze cha kufanya maana naogopa kukurupuka ahsante!!
 
Habari, nahitaji anzisha biashara ya viungo but real sina idea na biashara hiyo naomba contacts za wazoefu ili wanielekeze cha kufanya maana naogopa kukurupuka ahsante!!

Unahitaji wazoefu wa kada ipi?, masoko, mauzo, jinsi ya ku-process hivyo viungo au vipi.? Fafanua zaidi.
 
Back
Top Bottom