Nahitaji Masada

Nahitaji Masada

Habari za humu...Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa Dar es Salaam....Dhumuni la kuja humu ni kuhusu hali yangu kimapenzi ambapo inanitia hofu sana...kiasi kwamba nahitaji msaada wenu najua humu kuna watu wengi na ushauri tofauti.Shida nilizo nazo ni Kama ifuatavyo..
1.Mimi mara nyingi huwa sivutiwi sana na wasichana japo huwa napenda kufanya mapenzi.
2.Kuna msichana fulani nilikuja kumpata baada ya kuona hapa ninapo kaa wote wana mademu ila mimi tu naonekana sina,so ikabidi kama nimtongoze akakubali ila sasa yaan sivutiwi nae na pia nakuwa kama yaani sioni cha umuhimu kwakwe hata nikifanya nae sex baada ya round moja hamu ya kurudia sina tena,na hiyo round moja huchukua dakika chini ya mbili..
3.Yaani toka mdogo napenda sana kuwa na marafiki zangu wa kiume sana,yaani nahic naupendo mkubwa kwao kuliko wakike...sijui kutokana na nilivyo lelewa nimelelewa na bibi na mama tu baba nikiwa simjui labda ndo sababu..
4.Ninakuwa na waadmire sana boys wenzagu...
Naombeni ushauri wenu nifanyeje kusolve hizo changamoto...NOTE: MATUSI SIHITAJI JUST USHAURI TU
  • Waliosoma 'between lines' wameelewa, labda mtu awe VII B.
  • Pole sana asee! Kila mtu ni mdhambi na yupo hatarini kuanguka zaidi kwa3kutolitii neno.
  • Sijui imani yako, ila nilitamani upate huduma ya kiroho kwa padre mmoja kiboko ya giza.
  • Kama itakupendeza, nitafute PM naweza kupa A, B, C za kukurudishia tena ramani ya maisha.
  • Mungu aliyekuumba ana mpango nawe. USIKATE TAMAA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom