nahitaji marafiki

Everything is measured by man, tupe wasifu wako.
Likes, dislikes, hobie, na vitu vya aina hiyo.
 
hapana ila tu natoa tahadhari maana ni kitu ambacho sipendi
 
habari zenu wanajf? Nahitaji marafiki wa jinsia zote ,mi ni mwanamke,wasiwe na lugha chafu.

Nipo karibu na wewe km chache kili hapa ondoa shaka ila kuchat kwa kuandika wakat mwingine nachoka unaweza ni pm namba phone.
 
Jina lako limenifanya nijihithi nina kithembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…