Hivi mwanaume unaanzaje kuomba urafiki? Mimi nadhan the way unavyojichanganya na watu, ndio marafiki na washkaji watapatikana humo humo.
Kuna mwenzako mmoja, alishawahi kuja kuomba marafiki wapya wa kumsaidia kuondokana na upweke aliokuwa nao at the age of 19. Ila later on ikajulikana kuwa ni oya oya.

ivi humu ukiomba urafiki kweli
Unapata? Siinzan najua the way unavyo changia ndivyo marafiki wanakuja mfan mimi ninao marafiik
Lakin sikuwai omba urafiki hapa tangu siku ya kwaza kuingi jf