novavilla8
Member
- Jul 27, 2016
- 24
- 13
Swali zuri mkuuWewe ni wa jinsia ipi
Mfate pm...Swali zuri mkuu
Wewe ni wa jinsia ipi
Huyu ni ME... Mwanamke huombwa urafiki,Swali zuri mkuu
Kwani yeye katufata pmMfate pm...
Huyu ni ME... Mwanamke huombwa urafiki,
Dude, usiwe mnyonge mkuuu.
Njoo PM tupige story,
Mtu unatakiwa kutengeneza connection na watu mbalimbali.. .
Hapo kwenye "usiwe mnyonge" nimemkumbuka Mh rais wetuwhats funny Q?
Wewe, Q....mim hapo naogopa kuweka nenoHapo kwenye "usiwe mnyonge" nimemkumbuka Mh rais wetu
Mengine utajua huko huko...Kwani yeye katufata pm
Huna ml7?
Wewe mkuu hutaki mkwanjaMengine utajua huko huko...
Huenda akakuchotea mkwanja kidogo bank..
Nijipange waaapiwewe umejipanga nini??
Isije kuwa unatokea kanda ya ziwa na wew
Mim ntamsaidia pale atakapo pungukiwa... so we nenda...tuuWewe mkuu hutaki mkwanjatwende wote pm basi