Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

Hizi na hasa jeet kune do mkuu usimshauri kumbuka ana 40 yrs plus na unajua disciplibe la jeet kune do "diffence at the same time offence "kwa hiyo speed ni kubwa ya counter act. and short but powerful jabs and kicks sasa mkuu na kitambi chake si itakuwa majanga? hapo uwe at most an average of 65 -70 kg ndio utazifaidi hizo style lakini above that weight and 40 plus you will be sitting duck!
sure man....kama ana age kubwa .nafkir kuna michezo itayomfaa
 
df4c80856f66bd15c324ebbc7a559658.jpg
gedanzuki
 
nimeangalia hiyo picha vizuri ni kweli gedan zuki sio gedan barrai(shotokan) siijui kiundani jeet kune do ila najua ni style ya kichina so inakuje wanatumie majina ya kijapani (gedan zuki).
bruce amechanganya michezo...jeet kunedo imechukua kutka katka sanaa nying za mapgano
 
Kwa Martial art hakuna kuchelewa isipokuwa kwa 40 jikite kwa zilet stule ambazo hazina quick movement ya miguu au high kick kama vile Judo Aikido Shoto ryu,gojuryu,Winchun ,Taich
Hata shotokan kama una coordination nzuri na kama uko abit agressive krav maga will do.
Mimi niko vyema kwa Gojuryu and before nilijifunza dirty martial arts kabla ya ku adopt style moja ama mbili kupitia kwa Santana(RiP)Mwamba zero(RiP) na baadae Mwanafunzi wa Zero (Kilingo huyu search FB bado anafundisha kwa selected few na sisi wanafunzi wake huyu ametraib na walimu wengi wa nje ana pge face book na utanikuta nikiwa kama mmoja wa wanafunzi wake wa kujivunia na tunawasilia sana)
Ni ivada nzuri sana gii inakufanya uwe highly displined hata kazini na unatake every task in a way of the martial art -focused ,targeted in a certain order and efficiency.
Go mkuu na utapata support zote ningepepebda kila mtu ajue faida ya hii kitu utajisikia free in body and mind kuliko ulivyowahi kujisikia .
kwako hutakuwa na idle moment!full raha in your soul!
Karibu
Mkuu umeongea vizuri sana na nimeshawishika, chamsingi weka mawasilino yako tujue tunaanzaje
 
Arusha unacheza judo yako weee!! Ila wahuni wanakulia timing, tuu...mara paaa sime/panga ya mguu.....unakitwa beto ya abdomen...kwisha habari yako na judo yako....
 
Back
Top Bottom