kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 615
- 792
Nimekuwa natafuta maisha mazuri ila hawezekani kwa nyakati hizi kutokana na ari kuwa ngumu kote kote kwa sisi Viben10 sasa na hata wasio kama sisi, naombeni ushauri juu ya jambo hili;
Jana nimepata kuiona fursa ya kwenda kwa Sir Ngoma(Mganga) baada ya kuona fursa kwa rafiki yangu mkubwa tena wa karibu sana Bw. Likudi na amenishauri hili baada ya kuongea nae mambo mengi na siri ya mafanikio yake toka akiwa na umri wa miaka 18 alipokuja Dar kutoka Songea.
Baada ya maongezi hayo na siri yake ya mafanikio akanieleza lazima nipite njia hii(Uchawi) sasa katika huo uchawi kanishauri lazima nichukue maamuzi magumu(Kuua), kanishauri ili nifanikiwe haraka lazima nipite hapo ili nifikie alipo yeye. Amenishauri nimtoe kafara mzazi wangu mmoja 7bu mimi sijafanikiwa kuwa na mtoto ingekuwa suluhisho sahihi badala ya mzazi wangu. Kanishauri niandae pesa kidogo ili anipeleke huko ambako yeye ndio alikopatia mafanikio yake. Sasa kaniambia niandae pesa kidogo ili anipeleke (Ngende-Masasi) kwa ajili ya kuanza safari ya matumaini ya kuishi pasi na shaka juu ya kumiliki Pesa Magari na Nyumba mzuri.
Sasa kwa mtazamo wangu kiukweli nimemuelewa vzr sana na ningehitaji kufanya hivyo kwani hakuna namna kwa umri huu wa miaka 28+ na sijui kesho yngu elimu imenipiga chenga niliachia class 6 tu.
Mwisho kwa mawazo yenu na maoni yenu machache je naweza kufanikiwa bila kupata shida kwa mliowahi kupita huku? Najua wapo hapa waliopitia huku na hata kama ndg yako najua wajua huku amepita pia.