Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,779
Habari. Naomba kufahamishwa sehemu nitapa machine ya kufyatua tofali pamoja na gharama zake nipo Dodoma.
Mkuu pale UDSM zinapatikana nzuri, nina yangu used vp nikuuzie ya mkono lkn.Habari. Naomba kufahamishwa sehemu nitapa machine ya kufyatua tofali pamoja na gharama zake nipo Dodoma.
Unaiuza bei gani kiongozi.NA KAMA UNATAKA HEAVY DUTY NENDA NILE MACHINE HAPO UBUNGO WANAUZA 10MIL KWA MACHINE AMBAYO NI MULTPURPOSES INATOA MPAKA PEVING BLOCKS
nahitaji ya umeme kaka . je zenye bei chini ya milioni kumi. nataka nijiajiri lakini iyo mikioni kumi kubwa sana kaka.Mkuu pale UDSM zinapatikana nzuri, nina yangu used vp nikuuzie ya mkono lkn.
anza na ya mkono, ukikaa fresh unahamia ya umeme.nahitaji ya umeme kaka . je zenye bei chini ya milioni kumi. nataka nijiajiri lakini iyo mikioni kumi kubwa sana kaka.
Sina uhakika na bei yake mkuu ila ukienda pale zinapatikananahitaji ya umeme kaka . je zenye bei chini ya milioni kumi. nataka nijiajiri lakini iyo mikioni kumi kubwa sana kaka.