Nahitaji mabati geji 30 migongo mipana pia naomba ushauri

benjamathayo

Member
May 22, 2018
65
125
Kama nilivyo anza hapo juu nahitaji mabati migongo mipana geji 30. Pia naomba ushauri nibati za kampuni gani ambazo rangi yake haipauki kwa wauzaji.

Mimi nipo manyoni hivyo kama zinakuwa manyoni itakuwa safi lkn pia kama zitakuwa Dodoma au Singida siyo mbaya karibuni wote 0625695552whatsaap

IMG_1602.jpg
 

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,244
2,000
Geji 28 kwa mita sh.17000, kampuni ya ALAF,warranty miaka 15; wiki 2 zilizopita niliulizia
 

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,244
2,000
Aisee maisha yanaenda kasi sana, nakumbuka hizo bati nimenunua mwaka 2018 kwa 36,000 bati la futi 10 gauge 28 pale sunshare, leo miaka mitatu mbele limefika 51,000?
Sijajua kwa nini wanabei hizo, labda kwa sababu ni brand kubwa. Ndio maana wateja wengi wanakimbilia kwenye unafuu au wanachukua geji ya 30 n.k, matokeo yake bati la rangi muda mfupi linapauka
 

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
9,262
2,000
Sijajua kwa nini wanabei hizo, labda kwa sababu ni brand kubwa. Ndio maana wateja wengi wanakimbilia kwenye unafuu au wanachukua geji ya 30 n.k, matokeo yake bati la rangi muda mfupi linapauka
mkuu hiyo bei uliyoweka nadhani ni zile bati zenye manjonjo, zilizojikunjakunja kama vigae, ila za kawaida sio bei hiyo
 

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,244
2,000
Sio wiki moja inaweza kuzidi...alafu ukienda kuchukua bati zako ni kazi ya siku nzima
Kwa walioko dar wanasema matawi ya mikoani baadhi hayatengenezi kwa sasa,kwa hiyo oda zote zinaenda mjini; kwa mazingira hayo lazima uwe mpole,mbaya zaidi na pesa umeshalipa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom