INAUZWA Jipatie SATA SSD 500GB laptop yako iwe faster zaidi

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,220
12,939
Naam!
Kuna wakati ulishafikia hatua ukaona laptop yako ni nzito? Sio Ram tu inaweza pelekea laptop yako kuwa faster! Hata Hard disk (HDD) inapelekea laptop yako kuwa nzito pia, Kuna hii kitu inaitwa SATA SSD, haijalishi ya ukubwa gani lakini ukifunga kwenye laptop yako huwezi jutia kwa speed utakayoipata katika laptop yako.

Ni nzuri sana kwa utendaji kazi, inafanya machine yako iwe nyepesi kuzima, kuwasha na kufanya kazi mbalimbali! Haijivuti .

Wengine watakuambia SSD haziko hivo ila sio kweli kuna aina 2 za SSD, Kuna hii SATA SSD muundo wake kama Hard disk tu ya kawaida kwa nje lakini ndani ni tofauti na hii itakufanya ufuraie utendaji kazi wa laptop yako.

Ni Tsh 150,000/=
#+255 622 901 670
Karibuni sana

20210930_165929.jpg
20211001_143556.jpg
 
Kama Gb 512 mi nauzaga 200,000/= mkonon ila dukani ziko 350 000/=
Hiyo ni brand gani ya SSD inauzwa 350,000/- dukani?

Bei ya dukani kwa mfano SSD brand ya A-data 256GB ni TZS120,000 na 512GB ni TZS 180,000. Zote ni SATA 2.5 III NAND 7mm.

1TB 2.5" SATA III SSD, Ultimate 3D NAND 7mm ni TZS320,000 na 2TB 2.5" SATA III Ultimate 3D NAND 7mm ni TZS610,000.
 
Hizo ni m2 ni format tofauti, ssd za m2 zinakua bei juu kidogo compare na za sata, laptop ikiwa na slot ya m2 ina maana inaweza tumia ssd na hdd pamoja.
 
Hizo ni m2 ni format tofauti, ssd za m2 zinakua bei juu kidogo compare na za sata, laptop ikiwa na slot ya m2 ina maana inaweza tumia ssd na hdd pamoja.
M.2 siyo ghali mkuu, mfano za Ultrabooks, na ni Gen3x4 PCIe M.2 22800. 256GB ni TZS 130,000, 512GB ni TZS200,000 na 1TB ni TZS350,000.
 
M.2 siyo ghali mkuu, mfano za Ultrabooks, na ni Gen3x4 PCIe M.2 22800. 256GB ni TZS 130,000, 512GB ni TZS200,000 na 1TB ni TZS350,000.
Wewe mwenyewe umesema sata 256GB 120,000 halafu sasa hivi umesema m2 130,000 halafu unasema sio ghali? Huoni bei zako tu mwenyewe zinaprove point yangu?

Nimefungasha sana hizi ssd mkuu, siku zote m2 ipo juu kushinda sata na hata bei ipo juu. Ukienda Nvme ndio kabisa ssd za Nvme m2 zina bei kupita maelezo. Kutegemeana na m2 inaweza kuwa mara 2 ama zaidi ghali compare na sata.
 
Back
Top Bottom