Natahitaji gari aina ya mark x

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,236
Natafuta gari mark x iwe na rangi nyeusi ama rangi ya silver iliyokolea sana pesa iko mkononi iwe no D yoyote ile kama unayo ama una mtu anauza basi nicheck inbox tufanye biashara iwe katika hali nzuri na pia zaingatia vigezo nilivyoweka apo juu

Nyeusi
Silver iliyokolea sana
Ama rangi ya ugoro

Ac iwe safi
Matairi safi
Gear box iwe safi
Engine iwe safi
Iwe kuanzia no D
kama unayo nicheck kwenye no hii 0717461661 nb garilinahitajika kwa haraka sana
 
Bila shaka we ni dalali
Duuh mi nahitaji gari kwa matumizi yangu alafu wewe unasema mimi ni dalali alafu ata ningekuwa dalali kwani kuna ubaya gani endapo mi nikiwa dalali na nikakupa ela unayotaka mzee mbona sion shida apo as long as tumeelewana kwenye biashara yetu
 
Nani kasema kuna shida?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom