Nahitaji kuwekeza 15,000,000 UTT AMIS lakini sina elimu ya uwekezaji

Nahitaji kuwekeza 15,000,000 UTT AMIS lakini sina elimu ya uwekezaji

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
368
Reaction score
145
Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo

1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote
2. Faida zao zikoje
3. Mapungufu ya UTT ni yapi.

Asanteni waungwana
 
Kuna mtu anasema ukabeti ili usikae mwaka mzima kusubiri faida, nakushauri usimsikilize.

save namba ya chatgpt uliza swali lolote utakalojisikia kuhusu huo mpango wako wa utt
 
Mkuu kwa utt mfuko mzuri ni Liquid fund, hapa ukiweka hela, siku ukihitaji kutoa utaipata ndani ya siku tatu za kazi
•Utt sahv wameboresha kupitia app yao unaweza toa hadi 5m
•Ukitaka kutoa kiasi kikubwa zaidi ya 5m, lazima uende ofisini kwao
•Account unafungua mwenyewe kupitia app yao ya utt
•Jambo la muhimu siku ukienda kumalizia usajili signature utakayokua umesign kwenye ile form yao hakikisha ndo signature yako au umeikariri coz ikiwa utasahau signature yako basi hutaweza kutoa pesa zako na utapewa milolongo mingi sana ya kufuata, hili nimeliona juzi watu wanasahau signature zao wanashindwa kutoa hela
• kwa kiasi cha 15m hapo utapata kama 4000 kwa siku means kwa mwezi ni 120k, kama hiyo 15m huna matumizi nayo itulize hapo utt kwanza ukifikiria cha kuifanyia
 
Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo

1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote
2. Faida zao zikoje
3. Mapungufu ya UTT ni yapi.

Asanteni waungwana
Fanya biashara mkuu.
 
Kama kweli huoni biashara ya kuifanyia kazi Pesa yako, basi weka huko huko UTT-AMIS (mfuko wa liquid fund-low risk).

Kwa mfuko wa liquid fund gawio lake la kila siku ni asilimia 0.0003 ya Pesa utayowekeza.

Kwa hiyo, kama unatakà kuwekeza kiasi hicho cha Tshs 15 m, means, utakuwa unapata gawio la Tshs 4500 kila siku. (15,000,000 x 0.0003).

Na ndiyo maana wadau wengi hapo juu wamesema "ni Bora utafute biashara ya kufanya kuliko kuwekeza UTT-AMIS".

Japokuwa biashara zina risk, lakini ni Bora FAIDA utaipata Kubwa kwa siku kulingana na kiasi cha Pesa ulichonacho.
 
0C43D273-923F-4288-863F-9AE202B1D2E9.jpeg
25CD282B-EAC2-4B2F-8B8E-0DA5053C535E.jpeg
d089cd11-511e-4a2f-810d-73519e494e24-jpeg.3519224
B5267F5B-0A29-4AD1-91AA-97FD1B708062.jpeg
ddccd29d-8483-4cbb-90f7-a68a1996051e-jpeg.3519228
D4515F74-F733-4C8E-935E-6D2B6B24A17D.jpeg
 
Attachments

  • D089CD11-511E-4A2F-810D-73519E494E24.jpeg
    D089CD11-511E-4A2F-810D-73519E494E24.jpeg
    59.6 KB · Views: 34
  • DDCCD29D-8483-4CBB-90F7-A68A1996051E.jpeg
    DDCCD29D-8483-4CBB-90F7-A68A1996051E.jpeg
    81.3 KB · Views: 34
Anzia M wekeza kwanza ukishapata uelewa utahamia UTT
 
Back
Top Bottom