Nahitaji kuwekeza 15,000,000 UTT AMIS lakini sina elimu ya uwekezaji

Kaiweke hiyo hela UTT mfuko wa Bond Fund...

Kisha Chukua Vipande Vyako vitumie kama Dhamana nenda kakope pesa MWANGA BANK wanakupa 80% ya hiyo 15m

Then huu mkopo unaopewa usipasuke kichwa Kama una biashara uza hata Vocha hela yako yote inarudi.

Faida ya VOCHA ambayo ni biashara ambayo haina hasara zaidi ya faida ndogo ndo yakufanya mtu kama wewe.

Tumia mkopo huo kufanya hyo biashara italipa rejesho na Hela ako UTT inaendelea kuzaaa.

Usi iweke Pesa UTT mfuko wa hela kwenda kukaaa... kaiweke BOND FUND

Then kakopee vipande hvyo ufanye yako...

Kama unaogopa mkopo means unaogopa biashara...

Nunua Hisa za NICOL au CRDB Kaa hapo tulia.
 
Mwanga Bank wanakupa 80% ya Hela ya utt ?
 
Back
Top Bottom