Ha ha ha...VODACOM NI MAJIZI YALIYOKUBUHU!
Duh.Mkuu ushapigwa na watoto wa Town,Message unapata na ongezeko la salio unapata Ila ulichotakiwa kufanya ni kucheck balance kwa kutumia simu yako na si kwa Ile sms maana wanaitengeneza Ile sms,wanachofanya matapeli wanshirikiana na watu wa Vodacom kumtajia salio lililpo Kisha anatengeneza sms ya kuadd Hilo salio pole umepigwa na wajanja hao.
Mleta kakwambia anataka kujua mmiliki?Hivi Vodacom si ya Rostam na Lowasa, mijizi iliyoota mapembe?
Si kila kitu ni siasa sometimes jaribu kujishughulisha na kuchangia mada tofauti na siasa mwisho utaonekana kama kituko JF.Hivi Vodacom si ya Rostam na Lowasa, mijizi iliyoota mapembe?
tatizo jamaa sio member of linkedinINGIA LINKEDIN MTUMIE MESSAGE CEO WAO WA BONGO BWANA IAN FERRAO
https://www.linkedin.com/in/ian-ferrao-65b8301
MWANDIKIE MCHOdin NGO MZIMA ULIVYO PLUS MALALAMIKO YAKO
LAZIMA MTU AFUKUZWE KAZI HAPO...
Halafu unakuta watu wanalalama wawekezaji kuajiri wageni huu utaratibu ni tatizo sana kwa akili za wafanyakazi wa Tanzania sio ujanja ni upuuzi unaopelekea kufanya watu kufikiria sana kuja kuwekeza Tanzania; sababu za sisi kuwa nyuma kimaendeleo despite immense potential ziko wazi sasa.Mkuu ushapigwa na watoto wa Town,Message unapata na ongezeko la salio unapata Ila ulichotakiwa kufanya ni kucheck balance kwa kutumia simu yako na si kwa Ile sms maana wanaitengeneza Ile sms,wanachofanya matapeli wanshirikiana na watu wa Vodacom kumtajia salio lililpo Kisha anatengeneza sms ya kuadd Hilo salio pole umepigwa na wajanja hao.
Si kweli shirika linahukumiwa for economic neglence or vicarious liability mahakamani matendo ya wafanyakazi ndio matendo ya shirika pia. Vitu kama hivi kuokoa gharama za kesi kawaida regulator anatakiwa azipige fine kubwa sana kampuni kama hizi mambo kama haya yanapojitokeza na kuwataka kulipia fidia za loses watu walizopata kama huyu jamaa; akienda mahakamani anatakiwa adai zaidi ya laki tatu kama wakitakaa kulipa kiistarabu.Kaka hapo andika maumivu tu there is no way utapata msaada na hata kesi utakuwa unapoteza pesa na muda zaidi shukuru ni laki tatu tu wangelamba milioni si ungeweuka as long system haionyeshi hakuna refund yoyote utakayopata na katika system zote mpesa system ni zaidi ya vigumu kuhuck yes sometime huwa ina jam lakini hawatakusaidia trust me assume umeibiwa
Mkuu kama kweli nimeibiwa basi mwizi wangu atakuwa Vodacom mwenyewe maana hata message ya kuuthibitisha muamala imetoka vodacom na sio private sasa kama wajanja wametengeneza hiyo msg basi hao wajanja watakuwa ni vodacom wenyewe.Mkuu ushapigwa na watoto wa Town,Message unapata na ongezeko la salio unapata Ila ulichotakiwa kufanya ni kucheck balance kwa kutumia simu yako na si kwa Ile sms maana wanaitengeneza Ile sms,wanachofanya matapeli wanshirikiana na watu wa Vodacom kumtajia salio lililpo Kisha anatengeneza sms ya kuadd Hilo salio pole umepigwa na wajanja hao.