Nahitaji kutumia laini mbili kwa WhatsApp moja

Anthony Paschal

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Posts
513
Reaction score
12
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa au kuelekezwa namna ya kutumia laini mbili za mitandao tofauti kwenye simu moja, mfano nipate sms zote za magroup ya laini hizo kwa muda mwafaka, natanguliza shukrani.
 
Kwanini??
 
Nikikosa kabisa namna humu ndani sina budi kutumia ushauri wako huo
 
Back
Top Bottom