uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,216
- 788
Pakua app inaitwa parallel ina vyote unavyohitaji kutoka play store utakuwa na account mbili Facebook insta badoo we chatNikikosa kabisa namna humu ndani sina budi kutumia ushauri wako huo
Nk
Pakua app inaitwa parallel ina vyote unavyohitaji kutoka play store utakuwa na account mbili Facebook insta badoo we chatNikikosa kabisa namna humu ndani sina budi kutumia ushauri wako huo
Disa mbaya [emoji3]download disa
Nunua simu moja tu....download whatsapp GB halafu download whatsapp messenger hapo zitakuwa whatsapp mbili kwa cmu moja kila whatsapp hapo utaweka namba zako tofauti....by hashimHabari zenu wakuu, naomba kujuzwa au kuelekezwa namna ya kutumia laini mbili za mitandao tofauti kwenye simu moja, mfano nipate sms zote za magroup ya laini hizo kwa muda mwafaka, natanguliza shukrani.